正在加载视频...
视频加载失败
Apartments za Kimara:
29 条评论

Acha niendelee kukaa uyole chumba sebule master 45 uko dar nitakuja kutembea

Sasa kama wewe umeajiliwa posta kuondoka kwako saa 11 ukipaki wa kwanza mbele alafu wawepo walevi wawili waliojiajili wao kazini kwenda mpaka waamue si ugonvi kila siku

Sasa hii room ukiweka kitanda cha 5X6 si tayari kimejaa?

Kuna.assemble. Asubuhi au

Jiko ndio icho kibaraza? Utapeli

Yani chumba cha kupanga 150k daah😂😂😂

Hizi sio apartment, hivi ni vyumba vya kupanga.

Kaa kino kodi laki maximum laki 5 stress za usafiri unasahau

Hizo apartments au hostel😅

Iyo laki na Nusu ya Zimbabwe Nini kwa chumba Gani hapo 😂

Jiko sijaliona mbona

Hiyo ni shule sio nyumba za kuishi. Btw nikakae Kimara Suka kwa 150K/room. 🤣🤣 sasa hapo nakwepa nini?

Ujinga mtupu sasa hapo sofa naweka wapi

Ahh!! This ain't no apartments!! Kwanza asbh mnatoja mnakutana hapo katikati sijui ni uwanjani au ubaraza mpana??!!!! 🤣

🤣🤣🤣🤣

🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Mmh hapo hakun nyumba ya gharam hiyo..plus hizo sio apartment

Kibaraza ndio kimeitwa jiko...utapeli mtupu

Hayo ni mageti ha watto wa shule au chuo,,naishije hapo sasa, ukitoka tu mmegongana na mlevi

@jozee_i

😂

😅 😅 😅 Huko daslam siji

150k 🙄🙄

Hizi mita hata msoma mita anaweza kuchanganya ya kwangu akampa mwingine

kama mabweni duuh

Ramani nzuri

Huyo Boss mwambie aje na mtwara basi, Yani muelewa sana maji yako mwenyewe na umeme 🙌🙌🙌🙌

Jiko sjaliona hapo

150,000 dar shikamoo.
相关视频
Muda huu Kimara Baruti V8 ya watu wasiojulikana imechomwa moto #MO29
Twaha Mwaipaya
29,102 次观看 • 7 个月前
