Skip navigation
Arusha Stadium 🏟️ inazidi kupendeza 😍⚽️
0:00 / 0:29

Arusha Stadium 🏟️ inazidi kupendeza 😍⚽️

FELIX JASON

@Iamfelixtz32K followers

Visit on X
359 likesDownloadOriginal post

23,799 views

Arusha Stadium 🏟️ inazidi kupendeza 😍⚽️

17 Comments

Comments from the original post on X (Twitter)

  • †hømz's profile picture

    @ThomzJoseph

    Huko pembeni hata wapake nini wamezurura kuweka ni running track

    4 likes

  • HZ's profile picture

    @HzMnkai

    Mashabiki wanapaswa kula mchicha mapema kabla wajaingia uwnajani

    3 likes

  • ditto's profile picture

    @dittop20

    Kuna namna watu wa michezo hawaishauri vizuri serikali ya nchi hii kwenye suala la viwanja au ndo kwamba haishauriki.Kiwanja Cha mwaka 80 ndo chajengwa saivi

    2 likes

  • Tears of the Sun's profile picture

    @fariji_dee23

    Hizo running ways ndio zimeharibu uwanja.. Ila nimependa nilicho kiona🔥

    2 likes

  • silva's profile picture

    @amsilvery

    Ujengaji huu ni wa kizamani sana pitch iko mbaaaali sana na mashabiki🚮

    2 likes

  • Young Man's profile picture

    @390_Siez

    Renning track za nn

    2 likes

  • Daniel Mathias's profile picture

    @iamdaniel255

    Kuona mchezaji hadi upande boda boda

    1 like

  • Arnold swai's profile picture

    @DrArnoldswai

    Anaekaa VIP itabid aende na kifaa chenye zoom

  • CAFCL Gazette's profile picture

    @cafclgazette

    I'll be here for Yanga, inshallah

  • john kimaro's profile picture

    @Jonijo_Jon

    Pitch ukombaili san

  • mzalendo🇹🇿's profile picture

    @Hamadbakari2

    Maisha ya watu yakoje? Uchumi wao ni mbaya sana,hii miradi ya mikopo haiwezi kuwa kipimo cha maisha ya watu.

  • B Olise's profile picture

    @BYM_United

    Wow ila sasa muundo ule ule wa Kwa mkapa

  • JO's profile picture

    @jonijoo23

    Viwanja vya olympic bado tunajenga 2026

  • mKigoma ⚓'s profile picture

    @husseinabui

    Tule mboga mboga ili tuone mbali

  • MtOtO KaUtAka!🤠's profile picture

    @benny_pascal

    Uwanja umejengwa kizaman gharama kubwa hatar

  • champagne'poppa's profile picture

    @yhutha_

    running track tena🤣🤣🤣

  • Ngosero Yetu's profile picture

    @NgoseroY

    Hapa siwezi kuigia kisha kwasababu ni uwanja wa michezo sio wa mpira