正在加载视频...
视频加载失败
Asante Ikungi!
28,411 次观看 • 3 年前 •via X (Twitter)
13 条评论

Tundu Antiphas Lissu3 年前
Ni faraja kubwa kurudi nyumbani, kujumuika tena na wana Ikungi.

Muchunguzi Lucas3 年前
Kwa sasa wewe ndiye jicho letu kwetu sisi watanzania.#KatibaMpya imeanza kushika atam katika vichwa vya watanzania#pambana Mh Lisu mungu akubar Amina 🙏🙏

Lonjumuya3 年前
Nyumbani ni nyumbani 2

ODDS MBILI3 年前
Singida Imeitika🔥🔥🔥🔥

Mr captain👊👊3 年前
Msimu huu mcpoongoza nchi ndo bus tena

chrosbrown3 年前
Haki ya mtu hucheleweshwa tu 🤷🏻♂️ but dhamira na kusudi la Mungu lazima litimie 🤔

Prof.mchungaji Pinon3 年前
Mwendo ukiwa huu,2025 lazima tutoboe

Fredy Lukumay3 年前
Ahsante MUNGU kwa kuendelea kumpigania Lissu.

Kilaza Wa Mwisho.3 年前
Bado tuna imani na wewe ✌️

Godfrey Mirumbi3 年前
Hongera sana#Mh.Lissu#Karibu tena Nyumbani#

Are mwajifya ikungi

wakoloni wazawa Tz3 年前
Ccm warudi wakasome tena chadema chama kubwa sana lissu oyee

maseresere3 年前
🙌🙌
