正在加载视频...

视频加载失败

Azam Sea Taxi 🤩 🛥️

74,550 次观看 • 1 年前 •via X (Twitter)

11 条评论

Mbangaizaji 的头像
Mbangaizaji1 年前

Hizi Sea Taxi kwa nini msifanye mapango muzijengee docks na kuanzisha Route za Kivukoni- Bahari Beach, Mbweni na Mapinga ikiwezekana hadi bagamoyo?? Then mkaweka route nyingine Ferry/ Kivukoni hadi Mbutu au mbele zaidi kama demand ipo?

GRACE MELLA🌸 的头像
GRACE MELLA🌸1 年前

Mtaruhusu tuchukue video kwenye Hizo vivuko vyenu au na nyie ndio Kama wake wale !?

Mpemba 的头像
Mpemba1 年前

wazee zanzibar bagamoyo dar mtakuja lini? bamoyo dar mtaanza lini ? nimepata taarifa mnataka kujenga gati bagamoyo pale je ni kweli? na ujenzi unatakamilika lini kama ni kweli? maana mtatusaidia sana kupush uchumi cyo kutegemea kwenda dar ili tupate boti za zanzibar

KatZ 的头像
KatZ1 年前

Tunaomba Route ya Bagamoyo - Bunju - Posta via Msasani, tafadhali muifanyie kazi. Itasaidia raia wengi sana.

Solar Heavy 的头像
Solar Heavy1 年前

My single Stargazing just landed!

Captain Barbossa 的头像
Captain Barbossa1 年前

Hongereni sana

Fakihiiii 的头像
Fakihiiii1 年前

Mafia mafia tunaomba mtukumbuke 🥲 mafia-kisiju

Vasco 👽 的头像
Vasco 👽1 年前

Mafia, bagamoyo,

Maybe Tomorrow 的头像
Maybe Tomorrow1 年前

@ofclbakhresagrp chukueni na mwendokasi ata elfu 1000 tutalipa nauli

Lab Technologist 🔬 的头像
Lab Technologist 🔬1 年前

Mwanza to Ukerewe, hii njia inahitaji nguvu coz Songoro anasua sua sana

BENNY UNITED 👹 的头像
BENNY UNITED 👹1 年前

Punguzen Bei 500 kubwa sana kw maisha ya sasa hivi.

相关视频

🚨🇬🇧🇷🇺ถ้า #รัสเซีย โจมตี #อังกฤษ จะเจออะไร⁉️ 🇬🇧ถ้ารัสเซีย โจมตีอังกฤษ แล้วเกิดผู้นำทางการเมืองและทหารตุย และหัวเมืองต่างๆ พินาศ อังกฤษมีระบบที่เรียกว่า CASD (Continuous At Sea Deterent) ที่จะปล่อยนิวเคลียร์ และขีปนาวุธเพื่อจัดการเมืองใหญ่ๆ ของรัสเซียในทันที 🇬🇧CASD เป็นระบบโจมตีด้วยนิวเคลียร์โดยทางเรือดำน้ำ ซึ่งขณะนี้ UK มีเรือดำนำ้ใหม่ที่ออกแบบ และผลิตในสหราชอาณาจักร 4 ลำ ที่ทันสมัยที่สุดเท่าที่เคยสร้างมา โดยใช้เทคโนโลยีชั้นนำของโลกและล้ำสมัยที่มีความสามารถ และความแม่นยำอย่างยอดเยี่ยม 🇬🇧เรือดำนำ้ลำเดียวมีขีปนาวุธเพียงพอสามารถทำลายเมืองใหญ่ๆ ของรัสเซียได้เกือบหมด แต่อังกฤษมีแบบนี้ถึง 4 ลำ‼️ 🛥️🛥️🛥️🛥️ 🇬🇧ก่อนนิวเคลียร์จะถึงอังกฤษ ต้องผ่านระบบป้องกันทางอากาศของอังกฤษก่อนนะจ๊ะ อาจจะแตะเค้าไม่ได้เลยด้วยซ้ำ แต่บ้านยูวที่รัสเซียได้เตียนแน่‼️

❤️Nosie_All_Things❤️

39,132 次观看 • 1 年前