正在加载视频...

视频加载失败

41,056 次观看 • 3 个月前 •via X (Twitter)

0 条评论

暂无评论

原始帖子的评论将显示在这里

相关视频

VIDEO: Mkutano wa Kitaifa wa Wadau wa Kutafakari Hali ya Siasa nchini wa Septemba 8, 2026, umegeuka uwanja wa mnyukano mkali wa hoja baada ya Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanataaluma ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDASA), Profesa Elgidius Ichumbaki, kukishutumu Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuendeshwa na "dude" lisilojulikana, huku Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, Stephen Wasira, akijibu kwa kuwataka wasomi kuacha kulinganisha hoja zao na "mambo ya mitandao ya kijamii" Profesa Ichumbaki amefunguka kumweleza mzee Wasira pamoja na viongozi wengine wa CCM kuwa wameshindwa kutekeleza wajibu wao wa kikatiba, kisheria, na kijamii wa kuisimamia serikali ipasavyo. Profesa Ichumbaki amekwenda mbali zaidi na kuhoji kama kweli CCM inayo mamlaka kamili ya maamuzi nchini, akidai kuwa kuna nguvu nyingine ya siri inayoratibu mambo. Aidha, amegusia ahadi ya CCM ya kuanzisha mchakato wa Katiba Mpya ndani ya siku 100 za kwanza za uongozi wa Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan, akidai kuwa wanachama wanaosimama kudai katiba hiyo, na wengine kutetea haki nyingine za wananchi wamekuwa ‘wakiadhibiwa’ na kufukuzwa uanachama wa CCM. Akimjibu Ichumbaki, Wasira, amepinga vikali madai kuwa watu wanaoongea kwa niaba ya wananchi wanashughulikiwa akisema, “Yeye anasema mtu akisema kwa niaba ya mambo wanayotaka wananchi anashughulikiwa. Sio kweli. Na wewe kwa kuwa ni msomi, na wasomi wana sifa moja kubwa ya kufanya utafiti. Utafiti ni sehemu muhimu ya usomi. Usipotafiti utasema chochote tu. Utakuwa kama mitandao ya kijamii ambayo haina control”. Wasira amekitetea chama chake akisema kuwa wanachama na viongozi wa CCM nao ni sehemu ya wananchi na sio malaika, hivyo nao wana haki na uwezo wa kutoa maoni yao huru.

Jambo TV

54,784 次观看 • 1 个月前

Untung suaminya kagak pingsan
0:50

Sensitive content

Untung suaminya kagak pingsan

recehtapisayang

555,242 次观看 • 3 年前

mita ahyon hijab
1:21

Sensitive content

mita ahyon hijab

Chel

31,565 次观看 • 5 天前