Sensitive content
This media may contain sensitive content.
Video wird geladen...
Video konnte nicht geladen werden
Baba MBUGE💔❤️
96,343 Aufrufe • vor 1 Jahr •via X (Twitter)
10 Kommentare

Mzee alikua Mzungu sana huyu alikuwa anahita vijana hadi wa vijiweni pale Mlandizi ukijuwa mpira, au fani yoyote ww ushapata kazi jeshini, tumepoteza Mtu aliye pigania ndoto za vijana wengi sana, Mungu hazidi kupumzika kwa Amani ya Bwana, hakuna aliye kamilika chini ya Jua, R.I.P

Alikuwa Mtu Makini na Mahiri..Alikuwa kiongozi mwenye mchango mkubwa katika jamii na nchi. Ni muhimu kuungana na familia na marafiki katika kipindi hiki kigumu. Tunaweza kumkumbuka kwa matendo yake mema na mchango wake kwa taifa letu.

Alikuwa mwamba sana. Vijana wanamuelewa, kwanza hadi kwenye party bambini alikuwa anatoa bia kwa Kuruti wote😁🙌. Jambo Afande, nenda mkuu. Nenda baba💔

@upete_nazareth mdogo wangu, kwenye hii clip, umetumia lugha nzito kumuelezea Meja Jenerali Mbuge.

Jeshi halishindwi,R.I.P Afande

Yani huyu mzee aisee simjui kiundani ila anaonekana ana utu sana aisee Mungu ampunguzie adhabu za kabri

Alikuwa kiongozi haswa. Japokuwa kulikuwa na walioteseka kisiasa. Ila anko alikuwa kwenye mioyo ya watu wengi mnoo.

Free soka

Nimemfahamu Enzi Akiwa Usu Luteni.... Miaka ya 1995... Apumzike Kwa Amani 🙏

Daah hivi kumbe ndo uyu Mzee , aliyepandishwa cheo na JPM 💔💔💔
Ähnliche Videos
Sensitive content
Badoo naa baba❤️❤️❤️❤️
EMMANUEL🦅❤️
30,431 Aufrufe • vor 11 Monaten
Sensitive content
Netflix’sin onun oyunculuğuyla çalkalandığı dönem: - Baba idam? - Baba iyi adam 💔
GünAy
14,785 Aufrufe • vor 1 Jahr
