Загрузка видео...
Не удалось загрузить видео
Bado hajasema🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
17,286 просмотров • 3 лет назад •via X (Twitter)
Комментарии: 24

@videodownIoader

Kwamba amekosa hata kopo la pringles 😀😀😀😀

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Ngoja nami nitikise changu😂😂

Ukute zimeibwa

🤣🤣🤣🤣@SlimDad15 kumbe michezo ipo maalim

😂😂

Mhhh ni Hatari

Hahahah😅

Khaa!😂

Ilishawahi kunitokea hii. Nilikuwa na kibubu naweka 10k na 5K almost every day, kila wiki ili nimnunulie simu maza/bi mkubwa wangu maana ya kwake ilizingua kabisa na tukawa tunashindwa kuwasiliana. Baada ya miezi 2 nikakuta 62,000. MAMAE... Nilichoka kabisa

Bado ujasema😀😀😀😗😗😗

😂😂😂😂

Kuna mtu aliwahi kuniambia kuhusu vibubu vilivyokuwa vinuzwa ubungo darajani kidogo agombane na mke wake ndio mtu akamsanua kuwa hyo michezo ipo. Wauza vibubu ni wachawi

wauza vibubu wametisha sana

Huyu muongo bana amejiskiaje kufungua tuh

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

@DamianoOgutu

Kwenye kibbutz hela zinatolewa vizuri tu huwa wanadanganywa ni chuma ulete uongooo wezi wao wanao humohumo ndani wanazitoa hela

@BrownGeorgeLim remember this bro? It happenig.

Kwann lakin😄😄😄😄

😂😂😂

Bank zipo,mitandao ya kuweka pesa ipo,,,, wewe unaturudisha miaka sitini iliyopita ya kuhifadhi pesa. Ngoja mzee aendelee kukukomesha tu

😂😂😂😂
Похожие видео
Sensitive content
Hoy es el turno de behind the games de humillar al Cuck Supreme "QUE SU NOVIA LO AMABA" 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Calbeto 𝕏
39,009 просмотров • 1 год назад
