Video yükleniyor...
Video Yüklenemedi
Bahati Bukuku. 🤔🤔
44,896 görüntüleme • 1 yıl önce •via X (Twitter)
10 Yorum

Neddy1 yıl önce
Kuna utofauti mkubwa kati wa mwanamke aliyeolewa akaachika akabaki na mtoto huyu anastahili heshima kubwa sana Lakini mawanamke hujawahi olewa na una mtoto unajiwekea wakati mgumu sana kwenye jamii ya leo

@ Mbwana🇹🇿1 yıl önce
Single mother ni mwanamke anafanya malezi ya watoto bila kua na mweza wake Yaani anafanya majukimu yote ya ulezi peke yake. Single mother anaweza akaingia kwenye kundi hilo Kwa Talaka,kufiwa ama kuto kuolewa na akawa na mtoto.

Democracy1 yıl önce
Single mother wengi hawajaolewa wamaezaa kwenye mazingira ya usichanani

Rahim Yusuph1 yıl önce
Dats bi mkubwa yupogo smart sanaaa huyu

kuti bichi1 yıl önce
Kweli

KibabuTete1 yıl önce
she is right

Marcednyo1 yıl önce
Mbona kamchimba Bite mapema Aisee🤔🙄🤔

Being Blue1 yıl önce
Sio kweli

Sister G❤️1 yıl önce
Hahaaaa

Visit Mbeya🇹🇿1 yıl önce
Kawa mkali sana dada yetu
