正在加载视频...
视频加载失败
Bajaji kakimbia msala 😂 asijechuna
66,862 次观看 • 1 年前 •via X (Twitter)
10 条评论

bwana muu1 年前
Alfu kuna hilo

Pisikali bongo1 年前
@bongopisikali

Ahmet Deniz 🇹🇷1 年前
mwenye bajaj ameona ajiondoe zke kwenye magari ya kifahari asije kugonga taa ya m10😅

uledi1 年前
Bajaji wa wapi huyu Ana akili hivi?

CHIMPAYE1 年前
😂😆😂😆 hataki matatizo anawahi zake Kijichi achague sofa kali na kabati halafu tumpelekee atalipia baada ya mzigo kufika simu ziite sasa 0719903058

Rahim Abbas1 年前
Akichuna itakuwaje kwani si gari tu aina ya Porsche 911! parts zake zinapatikana duniani kote! au hii custom made? Ni gari nzuri na vifaa vya magari yote duniani vinapatikana tusikuze mambo

Y J1 年前
Clip za TZ kwa barabara huwezi kosa toyota Ist 🤣🤣

.. JELLYBEAN ..1 年前
@easyErikkk 🙄

Bonusbet Tanzania1 年前
huna baya tajiri naona mwenye V8 anatetemeka mbele

Tissaphernes1 年前
Ila COCO BEACH
