正在加载视频...

视频加载失败

Balaa la chadema Katoro GEITA muda huu.

30,878 次观看 • 1 年前 •via X (Twitter)

11 条评论

🇨 🇦 🇸 🇸 🇴 🇼 🇦 🇷 🇾 的头像
🇨 🇦 🇸 🇸 🇴 🇼 🇦 🇷 🇾1 年前

Kuna mpuuzi anaitwa @YerickoNyerereT anasema @ChademaTZ2 inakufa eti kwasababu walamba asali wanaondoka kwenye chama. Tunakusubiri wewe kibaka @YerickoNyerereT uondoke pia halafu tuone chama chetu kikifa shwaini wewe! Watu wanapigania ukombozi mnatuletea use**nge halafu tuwaache!

Jolebatawi_Tz 的头像
Jolebatawi_Tz1 年前

Watanzania siyo waoga ila ni wavumilivu. Wanahitaji mtu atakayekuwa front line mwenye dhamira ya dhati na mabadiliko na si vinginevyo. Chadema kilipendwa kutokana na harakati zake. Na hizo harakati ziendele. Ila viongozi mkishaanza sijui busara sijui nini wananchi wanarudi nyuma

Nancy kahumbya 的头像
Nancy kahumbya1 年前

The love is so real..he must be happy

Solar Heavy 的头像
Solar Heavy1 年前

new single Stargazing just landed

Kylianbk_4069 的头像
Kylianbk_40691 年前

Na hapo TAL HAYUPO

Tunibo Rich 的头像
Tunibo Rich1 年前

Mbele Kuna mwanga

Angas Oketch 的头像
Angas Oketch1 年前

Hii ficha wasioone wale vijana wa NJAA55

MM 的头像
MM1 年前

Kanda ya ziwa hainaga kulemba

White Eagle Tipster 的头像
White Eagle Tipster1 年前

@AnethStanley Hiki Chama hakiwezi kufa kwa namna yoyote kwa sasa

Texas Boy 的头像
Texas Boy1 年前

Hili ni balaa kubwa, upepo wa kisurisuri ukikaa mbele unakulpitia. Mumetisha sana

KOLOZDAD 的头像
KOLOZDAD1 年前

Halafu kuna Mapimbi wanapost Mapichapicha ya alfajiri ati hakuna watu mikutanoni🤣🤣

相关视频