Загрузка видео...

Не удалось загрузить видео

На главную

Bana vitoto vya Feza vina confidence.

17,569 просмотров • 1 год назад •via X (Twitter)

Комментарии: 10

Фото профиля Bernard Chuwa
Bernard Chuwa1 год назад

Here Mnaiita confidence ila angekuwa wa Kayumba anasasambua singeli, msingesema hivyo.

Фото профиля Joyce Kiango
Joyce Kiango1 год назад

Imagine nimemfundisha chekechea uyu😅😅Yani namfurahia mno

Фото профиля M A G I R I
M A G I R I1 год назад

Safi mwalimu.

Фото профиля Hugger-In-Chief| Chidinma| Zora the Explorer|
Hugger-In-Chief| Chidinma| Zora the Explorer|1 год назад

The learning style is very different na huku kwenye kidumu na fagio. Lazima confidence awe nayo because that confidence is built.

Фото профиля M A G I R I
M A G I R I1 год назад

Kweli.

Фото профиля @See your self
@See your self1 год назад

Angekuwa wa kayumba mngesema anafanya ujinga hakuna mtoto ooh maadili Ila kitu Feza basi anamakomfo 😃😃

Фото профиля M A G I R I
M A G I R I1 год назад

😅😅dah

Фото профиля Hamis Juma, PhD
Hamis Juma, PhD1 год назад

Kayumba mkuu wa shule angekua ana kesi ya kujibia leo😎

Фото профиля Kawishe MD
Kawishe MD1 год назад

Confidence ya pesa

Фото профиля Beekeeper
Beekeeper1 год назад

Ingekua Asante mkapa Kila mtu angehoji kamevuta nn haka 🙌

Похожие видео

Huu ujumbe wa Zitto MwamiRuyagwa Kabwe tufanye tuwezavyo umfikie Samia Suluhu hata kwa njia ya WhatsApp. Nilishawahi kusema huko nyuma kwamba kwa sasa vyombo vya dola ndivyo vinavyoongoza siasa na sio siasa kuongoza vyombo vya dola. Huko nyuma vyama vya siasa ikiwemo ccm yenyewe vilikuwa na nguvu kuliko vyombo vya dola lakini kwa sasa vyombo vya dola ndio vina nguvu kuliko vyama vya siasa. Kwa sasa vyombo vya dola ndio vinapanga nani awe kiongozi ccm na 80% ya vyama vya upinzani. Vyombo vya dola vinaweza kumuondoa kiongozi yoyote kwenye vyama vya siasa wanavyoviendesha ikiwemo chama tawala na vingine kama walivyowaondoa akina Chongolo, Polepole, Kinana, Mbatia na wengine. Vyombo vya dola wanaweza kufanya hivyo kwa sababu wanamumdu Rais ambaye pia ni mwenyekiti wa chama tawala . Sasa vyombo vya dola ndivyo vinavyoamua nani awe mbunge au diwani wala sio wananchi tena wanaoamua. Yani kwa sasa kura za wananchi haziamui tena nani awe mbunge bali dola ndiyo inayoamua. Zamani ulikuwa ukisikia ccm wakijitapa kwamba ccm imeshika dola lakini kwa sasa dola ndiyo iliyoishika ccm. Kwamba kwa sasa ccm imebakia kama rubber stamp tu ya dola. Viongozi wa ccm hawana uhuru wa kutoa maoni na fikra zao kama zamani na wote wanalazimishwa kusifia tu serikali hata kama wakulima huko wamedhulumiwa na serikali. Muasisi wa hali hii ya kuifanya vyombo vya dola kuwa na nguvu kuliko siasa ni Magufuli na Samia amefanya kuiendeleza. Zitto amezungumza kitu cha kweli kama hali itaendelea kuwa hivi basi siku sio nyingi ccm wataondolewa na dola. Mdude Nyagali 7 x 70 Sumu ya Nyigu.

Mdude Nyagali

53,000 просмотров • 1 год назад