Video wird geladen...

Video konnte nicht geladen werden

Zur Startseite

Baridi ikizidi tembelea dakitari

10,761 Aufrufe • vor 1 Monat •via X (Twitter)

0 Kommentare

Keine Kommentare verfügbar

Kommentare vom Original-Post werden hier angezeigt

Ähnliche Videos

SASA MWAKINYO HIYO TSHIRT INA MAANA GANI? 🤷🏾‍♂️ Huwezi sema unasimamia HAKI, UTU na DEMOKRASIA kisa umeweka picha ya LISSU mgongoni, huku kifuani kuna picha ya MWIZI na MUUWAJI anayeitwa SAMIA. Unless umewaweka kama Wenyeviti wa CCM na CHADEMA na kuonyesha ”UPO NEUTRAL” POLITICALLY. Bahati mbaya tulipofika hakuna tena nafasi ya UCHAMA wala UCHAWA. Tupo kwenye UTAIFA au USALITI. Sijui QUR’ANI TUKUFU inasemaje, ila BIBLIA TAKATIFU (Ufunuo wa Yohana 3:17), imetuonya kuhusu kuwa VUGUVUGU; chagua moja MOTO au BARIDI! Kwenye press yako ya miezi iliyopita ulisema Utapigana kama Lissu, “unajitetea huku ukiwafunza watu boxing” ukijifananisha na TUNDU LISSU anavyojitetea Mahakamani na kuifunza jamii SHERIA, huku aki-EXPOSE Mhimili ambao dhahiri upo COMPROMISED. Kuvaa Picha ya Samia, ni kutaka uwe Neutral, uwe Vuguvugu na falsely APOLITICAL! Na mbaya zaidi ni kuwa TUSI waliofiwa, waliozika viatu na nguo, waliopo magerezani, na waliotekwa na haijulikani walipo, MAANA ulikuwa umeanza kuonekana ni TASWIRA YA MATUMAINI. Kumbe ni COMMERCIAL ACTIVIST! Najua pengine umeminywa na “Kitengo”, Polisi au “Watoto Wa Mama” au NJAA imefanya u-COMPROMISE ujumbe uliotaka utoa. Au Umenunuliwa na MECHI IMENUNULIWA, alafu umetumika kama alama ya “Umoja Feki” katika ujinga wao huo wa MARIDHIANO. My educated guess makes me believe that is the case.. SAY IT AIN’T SO? Maana mechi yenyewe mmh smh! Ukiamua Kupambana na Kusimama kwenye HAKI, inabidi uwe tayari KUPOTEZA KILA KITU. USIRUHUSU NJAA IKAFANYA UUZE MATUMAINI YA MAMILIONI. MUHAMMAD ALI (The Greatest Boxer Of All Time) aliigomea Serikali ya Marekani kumpeleka VIETNAM kwenye Vita. Akadai Wavietnam hawajamkosea kitu so hawezi shiriki kuwapiga, na dini yake ya KIISLAMU ni ya Haki haimruhusu kuonea watu. Muhammad Ali akanyang’anywa LESENI ya Kupigana na akafungiwa kupigana Marekani na Akanyang’anywa MIKANDA. Ndio Maana akaja kupigana Zaire/DRC (Rumble In The Jungle) na Ufilipino (Thriller In Manila). MUDDY NI LEGEND HADI ANAKUFA Kama kweli wewe ni Champion, basi be CHAMPION OF THE PEOPLE, na tumia nafasi yako kuwakilisha SAUTI ZAO ZISIZOSIKIKA, badala ya kukubali kutumika KUWASAFISHA (SANITIZE) hao wanaonuka DAMU ZA WATOTO WA KITANGANYIKA. I am disappointed, and let down… and I think you have betrayed the people!! You owe them a “plausible explanation” ila najua HAUNA! The Leader

Webiro Wakazi Wassira #TheLeader

22,626 Aufrufe • vor 8 Monaten