Video wird geladen...
Video konnte nicht geladen werden
Benson Kigaila aki zoom VAR.
114,994 Aufrufe • vor 1 Jahr •via X (Twitter)
11 Kommentare

Shukrani Sana Brother Kwakufanyia Kazi Maombi Yetu. MUNGU Akutunze Jana KIGAILA Kila Akitaka Kufurukuta Anawashiwa VAR Anabaki Kaduwaa Tu Ulimvuruga Sana KISAIKOLOJIA Sidhani Kama Kuna Dalali Mwingine Wa Siasa Atakubali Kuja Studio.😂🔥

- Moonlight

Jana nchi imecheka sana 😂😂😂 Huu ndio uwe utatatibu wa kupambana na VIBAKA. VAR.

Hii ilikuwa zaidi ya shambulio la aibu, mzee alishindwa hata kuendelea kuangalia clip yake mwenyewe ikabidi atazame kwingine 😂😂😂 NB: "ukiwa muongo jitahidi uwe na kumbukumbu."

Kaka @chiefodemba weka namba hapo kaka nikutumie ya maji,sio hongo ila ni kwa ajili ya kazi kubwa unayoifanya.....hatujui nyuma ya pazia unapambana na mambo gani ili kushindwa kutimiza majukumu yako vema

@Oleshangay Odemba ulikamata kibaka

JANA UMEMSHIKILIA MPAKA AKAKATAA KUJIBU MASWALI🤣🤣🤣🤣🤣🔥🔥🔥🔥

Apa aibu inamtoka kaa huyu mzee

Kaingia mwenyewe kwenye kumi na nane zako, acha maji ayaite mma😂😂😂

Nilichogundua hapo ni mhaho wa mapandikizi na chama tawala na machineries zao kujaribu kubaini ni kwa namna gani CDM itazuia uchaguzi Inaonekana huo mkakati mamluki hawajui na huwenda anaeufaham ni TAL na watu wengine wachache sana waaminifu

Oya huyu mzee anakera sn inaonesha hana hoja na nimiohoni mwa walaba asali. Now wamekutana na Nyuki wenye asila kali wanatapatapa.
Ähnliche Videos
Sensitive content
Benson goes fucking super saiyan
kookycake (COMMS OPEN)
72,742 Aufrufe • vor 2 Monaten
