Loading video...

Video Failed to Load

Go Home

102,169 views โ€ข 1 year ago โ€ขvia X (Twitter)

10 Comments

VjSizya's profile picture
VjSizya1 year ago

Haya ni matokeo ya bad parenting, a man should be taught to act and behave like a man. Mwanaume timamu hawezi kufanya mambo ya hivi. Labda kama huu ni mchezo wa kuigiza na hii ni script.

Jeo's profile picture
Jeo1 year ago

Hapa mwamba kafeli kabisa,wanawake ni watu wa wivu sana,tena anamsifia mbele ya mke wake,haikupasww kuwa ila fresh acha tuishi.

~Brown Bear~'s profile picture
~Brown Bear~1 year ago

Maoni tu:Sidhani kama inapendeza mwanaume kuongea ongea saana harusini. Matokeo yake unaingiza mada controversial kama hizi.

Sister Gโค๏ธ's profile picture
Sister Gโค๏ธ1 year ago

๐Ÿ™„๐Ÿ™„๐Ÿ™„vid tuu natizama napata hasira ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃndo iwe kweli ningeleta taharuki

๐Œ๐Š๐Ž๐Œ๐๐Ž๐™๐ˆ's profile picture
๐Œ๐Š๐Ž๐Œ๐๐Ž๐™๐ˆ1 year ago

Hahahaha si utaharibu shughuli yako

lasttycoon's profile picture
lasttycoon1 year ago

Vijana weupe huwa hau sana

lady_Vee๐Ÿ’œ's profile picture
lady_Vee๐Ÿ’œ1 year ago

Naondoka zangu

kamchapeโ›“'s profile picture
kamchapeโ›“1 year ago

Huyu Jamaaa jau Sana

Charles Tarimo's profile picture
Charles Tarimo1 year ago

"She have....." # sijui hii kitu amejifunzia wapi ? # ungeleta yote tusikie why " she have herself soul" ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ#

MAUJANJA_SUPPLIER๐Ÿง 's profile picture
MAUJANJA_SUPPLIER๐Ÿง 1 year ago

Ila kuwa mwanaume raha sana Unazichapa tu Madem tutazichapa tu izo maana ni kwajil yetu

Related Videos