Загрузка видео...

Не удалось загрузить видео

На главную

Bi harusi kama anataka kulia!

102,169 просмотров • 1 год назад •via X (Twitter)

Комментарии: 10

Фото профиля VjSizya
VjSizya1 год назад

Haya ni matokeo ya bad parenting, a man should be taught to act and behave like a man. Mwanaume timamu hawezi kufanya mambo ya hivi. Labda kama huu ni mchezo wa kuigiza na hii ni script.

Фото профиля Jeo
Jeo1 год назад

Hapa mwamba kafeli kabisa,wanawake ni watu wa wivu sana,tena anamsifia mbele ya mke wake,haikupasww kuwa ila fresh acha tuishi.

Фото профиля ~Brown Bear~
~Brown Bear~1 год назад

Maoni tu:Sidhani kama inapendeza mwanaume kuongea ongea saana harusini. Matokeo yake unaingiza mada controversial kama hizi.

Фото профиля Sister G❤️
Sister G❤️1 год назад

🙄🙄🙄vid tuu natizama napata hasira 🤣🤣ndo iwe kweli ningeleta taharuki

Фото профиля 𝐌𝐊𝐎𝐌𝐁𝐎𝐙𝐈
𝐌𝐊𝐎𝐌𝐁𝐎𝐙𝐈1 год назад

Hahahaha si utaharibu shughuli yako

Фото профиля lasttycoon
lasttycoon1 год назад

Vijana weupe huwa hau sana

Фото профиля lady_Vee💜
lady_Vee💜1 год назад

Naondoka zangu

Фото профиля kamchape⛓
kamchape⛓1 год назад

Huyu Jamaaa jau Sana

Фото профиля Charles Tarimo
Charles Tarimo1 год назад

"She have....." # sijui hii kitu amejifunzia wapi ? # ungeleta yote tusikie why " she have herself soul" 🤣🤣🤣🤣🤣#

Фото профиля MAUJANJA_SUPPLIER🧠
MAUJANJA_SUPPLIER🧠1 год назад

Ila kuwa mwanaume raha sana Unazichapa tu Madem tutazichapa tu izo maana ni kwajil yetu

Похожие видео