Video wird geladen...
Video konnte nicht geladen werden
Binadamu...
48,259 Aufrufe • vor 1 Jahr •via X (Twitter)
11 Kommentare

Haya ni maneno aliyoyasema Chief Godlove, Akimlilia Mtoto Greyson, ambaye alifariki kwa kupigwa na kitu kizito kichwani... Msikilize 😢😢 Video kwa Comments 👇

Ni maigizo?? Mbona anaongea kwa uchungu lakini mwili unaigiza kwa kutafuta machozi.

Mi nae kuamini mtu anayejirecord analia ndio nilishashindwa 😎😎 hapa ni content tu inatafutwa hakuna lolote wamuache mtoto apumzike kwa amani

Huyu ni mku...ndu,Kuma la mama yak..e

Huyu Mwamba Noma Sana Umewasha Muziki Kwa Gari Huku Anajirekodi Nakutoa Huzuni Juu Ya Mauaji Ya Mtoto Acye Na Hatia Saa Cjui Ni Mtoto Wake Kweli??

Mambo kama hayo unapaje nguvu ya kuja kujiliza mbele ya media

Huyo ni mku....ndu tu.

Huyu jammaa ni maskini Sana,ila,hamjui chochote.

This is too much 🤣🤣

Me ningemshauri kwanza atoe familia yake Tanzania.....kisha apambane na adui yake

Tulipo sema wauwaji wako mtaani na polisi wafanye kazi yao yeye alisema tutafute hela, hatimaye wauwaji wamefika kwake
