Video wird geladen...
Video konnte nicht geladen werden
Boda boda wana ujasiri sana🙌
128,106 Aufrufe • vor 2 Monaten •via X (Twitter)
47 Kommentare

Kama Tanzania hatuna Rais, hivyo Yuko sawa tu

🤔🤔

Ni haki yake kikatiba kiwajibika maana hatakula hiyo misafara

Anaendelea na kazi zake kama kawaida 😁

Mwingine nimemuona kwa macho yangu mida ya saa kumi hapa Nane-Nane; Hadi traffic kasema huyu dogo akili ziko kwa kinyeo 😃

@Zuri_Sawahli Huu sio ujasiri hapa kikimlamba tunaanza kulalamika kumtetea kama hakija mlamba anaitwa jasiri,Wanangu mtu wa kwanza kuwajibika juu yako ni wewe mwenyewe kila mmoja aangalie wap katoka,wapi alipo na wapi anaenda.

Nchi haina rais hii

🤔🤔

Hawa Jamaa Sijui Ile Petrol Inawafanyaga Nini?

Sasa huyu akamatwe aonewe huruma? Hapo anahatarisha maisha ya wengine na yake

Huyo Siyo Boda Ni Mwendesha Pkpk😁

😂😂😂

😂😂😂😂😂😂kaona garii nyingi zitaamcheleweshaa

Hana muda wa kupoteza😂

Kwan raisi ni nan

President

🫵😂

Kama walimkamata basi atajikuta central 😁😁😁

Hawawezi kumuacha hivi hivi

Nje ya mda 😁😁😁 always on hurry

Ndiyo maana wanakufa vibaya sana

Yy anajua ni toys hio mwamba ameshika kwa mkono ama?

Sasa mtu asikatize

😂😂

Nayeye ana haraka kama wao...

Washamzunguka wanampa haki yake ya kikatiba, mjinga anahatarisha maisha yake 🤣

Hapa naiman kabisa sio malawi

Hawana cha kupoteza kwenye maisha.

Uhai kwao siyo kitu cha muhimu

Unajua kilichomkuta hapo mbele😂

Ukute sio ujasiri,ni kuchoka maisha

Kumbe hii nchi tuna rice

Atadakwa tu

ujasiri ❌ ujinga✅

😂😂

@grok whats going on here

Yupo sawaaa kabsaa

Timing tuu🤣🤣🙌🏿

Hizo gari zote na barabara inakaa hivo🚮

Sa ukae Hadi msafara uishe wewe kuweza

Sio bongo hapo

Afisa usafirishaji 😂

😂😂

😂😂😂

MBONA YEYE ALIPANDA MWENDOKASI MPAKA MBAGALA NA MKAMPONGEZA🙄 MPONGEZENI NA HILI PIA😎

Aura farming

😂😂😂
