Loading video...
Video Failed to Load
Bomboclaaaaat ๐๐๐
54,938 views โข 2 years ago โขvia X (Twitter)
11 Comments

Latto ๐2 years ago
Ila Wanawakeee ๐๐๐๐๐ Demu kamuona Harmonize, akiwa anafanya Interview Kamsalimia, Kamwambia sina Nyash kubwa ila nakukubali, then kamuimba na number, ๐ Video kwa Comments๐

Latto ๐2 years ago
Ila huyu Mwamba ๐๐๐

mfunguaCodeX2 years ago
Camera man msenge sana kmmk

Gasto Mg2 years ago
Safi sana, harmonize ajazubaa na demu nae yupo sharp

Sir.Mwita (Gwiji)2 years ago
Dada ana nidham kapokea namba kwa kubonyea kabisa huyu atakuwa mjita๐๐

Mr Noone_372 years ago
Ukiona bahati haiji inabidi uitafute mwenyewe๐คฃ๐คฃ

kingpin2 years ago
Sema mwamba na nnya hakuna wa kuwatenganisha

Kula Chuma Icho2 years ago
Kelele zte izo dem kumbe ana iphone 6

FUN2 years ago
Kashaliwa hyoo

KING RJ # O.B.E ๐2 years ago
No aisha we love a poor man am out

Patrickpthedj2 years ago
๐๐๐๐๐๐๐
