Loading video...
Video Failed to Load
Bonus Video ๐
13,256 views โข 2 years ago โขvia X (Twitter)
13 Comments

Latto ๐2 years ago
Moni Centrozone... Malume, Si akaingizia Vsrse kwenye Olodumare ya JOEL LWAGAA... Yooo mistari imentooshaa aisee... Kaifanya wimbo ukawa mtamu zaidi.. Sikiliza Verse zake... Video kwa Comments๐

Latto ๐2 years ago
Part 1

Latto ๐2 years ago
Part 2

Kanyambo_2 years ago
Kaiburuza san base๐ฅ

Eng Mecky Njau2 years ago
Safi ukivaa ear phone ndo utaelewa vizuri jamaa kafanya unyama gan safiii

Latto ๐2 years ago
Kabisaa!!

MUHANJI2 years ago
Koffi Olomide akimuona huyu jamaa anamchukua.

Kihebwe2 years ago
Jamaa anaitwa nani mtag hapa tukaone baadhi ya kazi zake, jamaa anakua sanaa

Didas Rugimbana2 years ago
Huyu jamaa noma ๐

Kaka Mkubwa2 years ago
@TweetHelperBot please download this

Mc Nafasi Events2 years ago
Jamaa kagusaa sana nyuzi hzo aloo๐๐พ

Desmond David2 years ago
Jamaa amezitendea haki nyuzi za bass guitar ๐ซก๐ซก

Malach2 years ago
๐๐๐๐
Related Videos
1:22
Sensitive content
Bonus Video
Some Place In Time โฐ
20,814 views โข 2 years ago

