正在加载视频...

视频加载失败

13,384 次观看 • 1 天前 •via X (Twitter)

0 条评论

暂无评论

原始帖子的评论将显示在这里

相关视频

HATUWEZI KURIDHIANA NA WAUAJI. Mmeuwa Watanganyika zaidi ya elfu kumi, mmeteka na kupoteza mamia ya ndugu zetu, mmewabambika kesi za Uhaini na Ugaidi Wanachama na Viongozi wa CHADEMA akiwemo Mhe. Lissu Mmeenda Gereza la Ukonga kumwambia Mhe. Lissu kwamba mko tayari kufuta kesi kwa sharti la kwamba akubali kuingia kwenye maridhiano, akawashushua mkaondoka sura zikiwa zimewashuka kwa aibu.😂 Halafu venye hamna akili mkamfuata Mhe. John Heche na ombi hilo hilo la kutaka akubali kuipeleka CHADEMA kwenye maridhiano, mmeona amegoma sasa mmeamua kumtuma Habiba Mchange aje na hii propaganda ya bei rahisi. Yani Nduli Idd Amin Mama amkamate Mhe. Lissu na kumbambika kesi ya Uhaini, akatengeneze mpaka mashaidi wa uwongo halafu lawama mnataka kumpa Mhe. Heche hizi akili au matope? Mmeona kila kona ya Dunia mnayoenda kuomba misaada kwa wahisani mnaangukia pua sasa mnatafuta kila njia ili CHADEMA ikubali kuingia kwenye maridhiano maana mnataka kuitumia CHADEMA kujisafishwa kwenye uso wa Dunia kwasababu ndo Chama pekee chenye Legitimacy. Hii mbinu mliitumia wakati wa Mhe. Mbowe kipindi kile mmempa kesi ya Ugaidi sasa kama mnadhani mnaweza kuitumia wakati huu basi akili zenu wote zitakuwa zimejaa funza.😤 Viongozi wa CHADEMA tulionao sasa ni BENDERA CHUMA, MLINGOTI CHUMA. Nendeni mkaridhiane na Watanganyika zaidi ya elfu kumi ambao mliwauwa Oktoba 29 kisha mkaiba maelfu ya miili yao na kwenda kuizika kama mizoga kwenye makabuli ya halaiki. Jambo la mwisho ambalo mnapaswa kuliweka kwenye akili zenu ni kwamba Damu za Watanganyika zaidi ya elfu kumi mliowaua hazitawaacha salama, hazitanyamaza, zitawalilia nyinyi na vizazi vyenu mpaka siku mnaingia kaburini.

Hilda Newton

43,239 次观看 • 6 个月前

Dari belakang 🤤
1:00

Sensitive content

Dari belakang 🤤

Arsip Cewek Cantik

1,736,674 次观看 • 1 个月前