Загрузка видео...

Не удалось загрузить видео

На главную

Busara za Idd Amini

31,005 просмотров • 1 год назад •via X (Twitter)

Комментарии: 11

Фото профиля 𝐃𝐈EGO🇵🇹
𝐃𝐈EGO🇵🇹1 год назад

Kumbe Alitoa Hadi ushauri

Фото профиля Mr.world
Mr.world1 год назад

Jamaa hakua mbaya kama tunavoambiwa Ni propaganda za kumchafua ndo tunaziskia cc Et ooh alikua anakula matako ya watu huo ni uongo

Фото профиля Ubwa_artz
Ubwa_artz1 год назад

Kumbe jamaa alikua hadi anatoa ushauri na watu wanacheka na yeye anacheka

Фото профиля Solar Heavy
Solar Heavy1 год назад

take the journey

Фото профиля Gerald Felician
Gerald Felician1 год назад

Kama kawaida

Фото профиля Dr.KASEKO Jr 🩺.
Dr.KASEKO Jr 🩺.1 год назад

Anzia hapo, "When you drink a little...

Фото профиля Mutta mtukutu
Mutta mtukutu1 год назад

My beloved leader ✍🏻

Фото профиля Tag Ubavu
Tag Ubavu1 год назад

Kumbe kuna vitu hatuambiwi ukweli

Фото профиля mussa nyalaja
mussa nyalaja1 год назад

Huyu si huyu kweli

Фото профиля heisram heisram
heisram heisram1 год назад

history ni ubaya

Фото профиля Football Analyst ⚽️
Football Analyst ⚽️1 год назад

😂😂😂😂

Похожие видео

SAUTI INAYOSIKIKA KWENYE HIZI VIDEO NI SAUTI YA MKUU WA WILAYA YA MASWA. Idd Amin Mama anatarajia kuwa na ziara Mkoa wa Simiyu kuanzia June 16, 2025 sasa hapa Mkuu wa Wilaya alikuwa kwenye kikao na watumishi wa umma akiwaelekeza maagizo aliyopewa na Mkuu wa Mkoa Simiyu Kenan Kiongosi ili kufanikisha ziara ya Idd Amin Mama kwenye Mkoa wao. Kenan Kihongosi ameamuru kila Wilaya iliyopo ndani ya Mkoa wa Simiyu ichangie Ng'ombe 136, magunia ya mchele,maharage na fedha taslimu. Kenan Kawaambia maDC kwamba wanaotakiwa kutoa izo Ng'ombe, magunia ya michele, maharage na fedha taslimu ni WADC yani Maafisa Elimu Kata, Wakuu wa Shule, Walimu Wakuu, Watendaji Kata, Maofisa wa Kata, Maafisa Ugavi, Waganga Wafawidhi n.k Halafu kila Wilaya ya Mkoa wa Simiyu wameambiwa wakusanye Vijana 15,000 na kuwaweka kambini kusubiri mikutano ya Idd Amin Mama wakajaze viwanja ya mikutano😂 izo pesa Taslimu ndo zitakuwa zinatumika kukodisha mafuso ya kuwabebea hao vijana 15,000. Na kwenye izo kambini ndo watakuwa wanakula hao ngo'mbe na hiyo michele na mandondo halafu hao Vijana watakuwa wanazunguka kila wilaya atakakokuwa anaenda Idd Amini Mama lengo ni mikutano isikose watu wanataka ionekane iko na nyomi ya kutosha. Ukisikiliza Mkuu wa Wilaya ya Maswa anaelezea jinsi ambavyo waliwahi kukosa watu kwenye moja ya mikutano yao sasa anasema hawataki aibu ijirudie, anawaambia kwamba kipindi chote ambacho Idd Amin Mama atakuwa Simiyu ofisi zote za Serikali kazi zitasimama na watumishi wa Umma wote lazima waende kwenye Ziara ya Idd Amini Mama eti wao ndo wanapaswa kuwa walinzi wa kwanza wa Idd Amin Mama.😂 Hii ni dalili ya kwamba Idd Amin Mama hakubaliki kabisa kwa Wananchi ndo maana Serikali kupitia kwa Mkuu wa Mkoa wanatumia nguvu mpaka kulazimisha watumishi kutoa michango ili kupata watu wakujaza Mikutano yao maana wanajua wakisubiri watu waende uwanjani kwa hiyari yao hawatotokea.

Hilda Newton

33,714 просмотров • 1 год назад