Video wird geladen...
Video konnte nicht geladen werden
Bwana harusi kachangamka sana 😂
56,111 Aufrufe • vor 2 Tagen •via X (Twitter)
35 Kommentare

Mbona kama El nino haina makali

Bwana harusi alinde mgongo

Kuna kanamna pale

Meanaume unafurahia kuoa kuliko mwanamke anavyofurahia kuolewa? Huyu atauona moto

Tair haina upepo

Wametoa masega.

Soda haina gesi 😅😅

Anachekesha kama sio mmeo🤣

Duuuuh mbona kama hafuati kauli mbiu ya PROTECT YOUR BACK huyu😂

Mbn kama kazi haina utu?

Hyu akipigwa tukio moko tu atarudia kuisonya hii video

Daah mbona kama alishakaidi agizo la kulinda mgongo

Mbona kama CHADEMA imepatana na msajili

Huyu Mbona Kama Monday haina Blue

Ubao umegeuzwa juu chini maandishi hayasomeki wazee

Anamkomesha ex wake🤣

Ni kama kuna mtu alikuwa anamuoshea vile🤣

Tulimwambia anywe safari mbili achangamke sio awehuke

Hako kamkono sio ka testosterone za kushato. Ni ka bare minimum. Hahahahaha

Hapo nahisi zilikuwa zinapigwa ngoma za kihaya kwa jinsi anavyocheza, hii ngoma imewekwa soundtrack.. japo pia kaonesha vidole kam vile MALIASILI haina uhalisia wake 😂🤣

Coca haina gesi

Mwaka umeanza bila January

Bwana harusi ndo yupi apo

Aliyempa bwana harusi nyagi akamatwe.

Muhaya

Android bila playstore 😀😀

mbona bibi harusi ana pengo

Mbona kama aslay Hana mihogo

Jamaa hakulinda mgongo Nini huyu 🤣🤣🤣

Haha kariakoo Haina mawinga🤣

Hakulinda mgongo huyu

Diara yupo?

Samatta hachezi taifa stars

Nyuki hawana asali

Dudu kakosa baya
