Loading video...
Video Failed to Load
Bwana harusi kachangamka sana ๐
56,111 views โข 2 days ago โขvia X (Twitter)
35 Comments

Mbona kama El nino haina makali

Bwana harusi alinde mgongo

Kuna kanamna pale

Meanaume unafurahia kuoa kuliko mwanamke anavyofurahia kuolewa? Huyu atauona moto

Tair haina upepo

Wametoa masega.

Soda haina gesi ๐ ๐

Anachekesha kama sio mmeo๐คฃ

Duuuuh mbona kama hafuati kauli mbiu ya PROTECT YOUR BACK huyu๐

Mbn kama kazi haina utu?

Hyu akipigwa tukio moko tu atarudia kuisonya hii video

Daah mbona kama alishakaidi agizo la kulinda mgongo

Mbona kama CHADEMA imepatana na msajili

Huyu Mbona Kama Monday haina Blue

Ubao umegeuzwa juu chini maandishi hayasomeki wazee

Anamkomesha ex wake๐คฃ

Ni kama kuna mtu alikuwa anamuoshea vile๐คฃ

Tulimwambia anywe safari mbili achangamke sio awehuke

Hako kamkono sio ka testosterone za kushato. Ni ka bare minimum. Hahahahaha

Hapo nahisi zilikuwa zinapigwa ngoma za kihaya kwa jinsi anavyocheza, hii ngoma imewekwa soundtrack.. japo pia kaonesha vidole kam vile MALIASILI haina uhalisia wake ๐๐คฃ

Coca haina gesi

Mwaka umeanza bila January

Bwana harusi ndo yupi apo

Aliyempa bwana harusi nyagi akamatwe.

Muhaya

Android bila playstore ๐๐

mbona bibi harusi ana pengo

Mbona kama aslay Hana mihogo

Jamaa hakulinda mgongo Nini huyu ๐คฃ๐คฃ๐คฃ

Haha kariakoo Haina mawinga๐คฃ

Hakulinda mgongo huyu

Diara yupo?

Samatta hachezi taifa stars

Nyuki hawana asali

Dudu kakosa baya
Related Videos
Ndo mke wako ulietuchangish pesa ya harusi sasa ๐๐๐
SafariMlevi
24,669 views โข 2 months ago
