Video yükleniyor...

Video Yüklenemedi

Ana Sayfaya Dön

50,110 görüntüleme • 1 ay önce •via X (Twitter)

1 Yorum

harutoo profil fotoğrafı
harutoo1 ay önce

salah satu video favorit💦🥵

Benzer Videolar

VIDEO: Jaji Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, George Masaju, amesisitiza kuwa imani ya wananchi kwa taasisi za haki jinai inapaswa kuwa kipimo kikuu cha mafanikio, huku akipinga vikali kauli za baadhi ya watu wanaodai kuwa mfumo wa haki nchini umeharibika au kuanguka. Akizungumza wakati wa kufunga mkutano wa wadau kuhusu ushirikiano na mahusiano katika utekelezaji wa majukumu ya utoaji haki mahakamani uliofanyika katika Makao Makuu ya Mahakama ya Tanzania jijini Dodoma, Jaji Mkuu Masaju alieleza kuwa moja ya matokeo makuu ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 ni kujenga taasisi zinazoaminika na wananchi ili waweze kufanya shughuli zao za kisiasa, kiuchumi na kijamii kwa ufanisi. Alibainisha kuwa imani hiyo haijengwi kwa maneno matupu, bali kwa wananchi kupata haki na huduma mapema na kwa uwajibikaji wa dhati kutoka kwa watumishi wa umma. "Imani ya wananchi haijengwi kwa kauli pekee. Inajengwa pale ambapo wananchi wanapata huduma mapema ipasavyo na in this case haki pia ipasavyo... Wanalindwa na sheria. Wanaolalamika wanasikilizwa na wanaona kuna uwajibikaji wa dhati kwa sisi watumishi wao," alisema Jaji Mkuu Masaju. Jaji Mkuu Masaju alijibu dhana zinazoenezwa na baadhi ya watu wanaojaribu kuaminisha umma kuwa mfumo wa haki jinai Tanzania haufanyi kazi au umeanguka, akisisitiza kuwa vyombo na mifumo hiyo iko imara na inaendelea kutimiza wajibu wake kwa mujibu wa Katiba na sharia. "Liko kundi lingine linaloaminisha wananchi kwamba hivi vyombo vyote vya mifumo ya haki jinai vime-collapse. Hapana. Sisi lazima tuwe wa kweli kujipima na hata hii mikutano tunafanya kwa sababu hiyo... Hii mifumo iko vizuri na iko imara. Tusiendekeze mambo mengine haya yasiyokuwa na sababu," alisisitiza Jaji Mkuu.

Jambo TV

11,155 görüntüleme • 1 ay önce

Bali seminyak tempatnya LGBT. DUNIA PELANGI
1:40

Sensitive content

Bali seminyak tempatnya LGBT. DUNIA PELANGI

Bambang

311,662 görüntüleme • 3 yıl önce

Baru lagi Om3tv 📁
0:55

Sensitive content

Baru lagi Om3tv 📁

Antonio

198,641 görüntüleme • 12 gün önce

Udah pada nonton video syurnya belum?
1:31

Sensitive content

Udah pada nonton video syurnya belum?

Kpopers

127,289 görüntüleme • 1 ay önce