正在加载视频...
视频加载失败
CDF Mstaafu Mabeyo
26,561 次观看 • 9 个月前 •via X (Twitter)
25 条评论

Umbeya wa wasitaafu mwisho.moro.ukija bongo dar tutakuuliza ulifanya nini ukiwa kwenye nafasi ya maamunzi ukiwa km mkuu wa majeshi?ukiwa ulilolifanya hovyo basi wewe ni wale wale waliwaua wa tanganyika tare 29 tutakuwa wajinga kukubali maoni yako bila kukili km nawe ni wale wale

Huyi CDF ni mpumbavu na mjinga aliweza kupata nafasi yakuchukua nchi lakini hakuna hatua zozote ambazo alichukua hasa baada ya rais kupoteza angweza kuichukua nchi akaindesha kwani alikuwa na haki zote na mamlaka yote lakini aliangalia maslahi yake binafsi na siyo taifa.

Vyeo vya kupewa huwezi kuongea hivi ukiwa kwenye cheo,na kingine wasio na ajira yaani jobles wanauhuru sana wa kimaamuzi kwanini kwasababu hawapo kwenye mifumo ya serikali huyu yupo huru ndiyo maana anaongea hivi.

Hakujuwa anamkabidhi nchi mtu mjinga?? Zee pumbavu sana hilo

Kesho akiteuliwa kua balozi atafya mkia hutomsikia akisema popote au chochote.

Anafabya kampeni?😅😅😅😤😤Au pengine karudi kutoka ulaya hajawahi kuwepo muaja yoore ya uzeee?🙌Hapa Sasa anamuambia Nan?atuondolee upumbavu wake hapa keshachelewa kauza NCHI baada ya mwendazake 🚮🚮alee wajukuu na kikokoto juu⛏️⛏️🚮🚮

Tanganyika bila kumpata Captain Traure wetu, hawa majenerali feki wanaohemea vyeo na uchawa kwa wauwaji hatufiki mbali! Kutwa kucha ni kuhangaika kuidhibiti chadema na utekaji!

Tatizo la nchi hii ni ccm na @jmkikwete siku huyu laaana akifa mtaniambia nchi itajaa maziwa na asali kikwete anafanya adi Mungu anatunyima mvua

@Mwitah_tz kaka salama lakini? Hivi kwa namna ile yakupita mabarabarani nakuanza kushutumu wapinzani akili yakufanya mapinduzi katika kilimo tutaitolea wapi?Kila siku nikulaumu mabeberu kazi tunafanya saa ngapi?

Huyu ni MPUMBAVU HAKUNA SABABU YA KUMSIKILIZA

Pumbavu alishindwa kuchukua nchi hapa anahatisha qmat🚮🚮🚮🚮⛏️⛏️

@Rubibi_idrisa Hili Jeshi la Wananchi wanashindwa kujiongeza mbona ilikuwa inawezekana yeye kwenda kufanya hii kazi Nchi ikaneemeka?.

Huyu nae ni mpuuzi alikuwa na nafasi alishindwa kuitumia Leo watanganyika wame uwawa zaidi ya elf kumi

Hata Nyerere alikua hivi, hata Mkapa alikua hivi na nukuu zipo, tatizo nililo nalo pia ni kwanini haya yanakuja wakiwa out of power positions?

Nile inaishia Mediteranian haifiki Jordan na Lebanon. Mzee hapo tushushe 😅

Kuwatenga mamba pembeni, kuwajengea uzio💔

Kama katoka kutumikia kifungo kwa miaka 40 kumbe alikuwepo

Siku wakifanya haya Ulaji wao utapungua sanaa, ili ulaji usipungue hawatakaa wafanye haya na watafanya lolote wabaki madarakani hata kwa mtutu wa bunduki ili waendelee kula na sio kujenga Tanzania na Watanzania.

Mzee alishindwa kurukomboa atuache

Angeshauru na kutekeleza alivokua madarakani,ingependeza sana

Huyu ndo chanzo cha yte haya matatizo

Mchawi huyu

NEMC na TANAPA Wanakuona tu...unavyojishebedua

@kilepi_tweve Alikua haoni hili alipokua ndani ya sistim?!

Karogwa huyooo mamaeeeeeeee
相关视频
Rais Mstaafu Kikwete: Msuya hakuitisha press conference kuisema Serikali.
The Chanzo
95,240 次观看 • 1 年前
