Video yükleniyor...

Video Yüklenemedi

Ana Sayfaya Dön

chalayan SS03

52,544 görüntüleme • 1 yıl önce •via X (Twitter)

7 Yorum

ؘ profil fotoğrafı
ؘ1 yıl önce

“manifest destiny”

𝖁𝖊𝖉𝖗𝖆𝖓𝖆 profil fotoğrafı
𝖁𝖊𝖉𝖗𝖆𝖓𝖆1 yıl önce

That's Chalayan on the right!

offduty ⭒ runway profil fotoğrafı
offduty ⭒ runway1 yıl önce

SOOO GOOD OH MY GOD

ؘ profil fotoğrafı
ؘ1 yıl önce

favorite

Rah 📟 profil fotoğrafı
Rah 📟1 yıl önce

Crazy!

Hannah profil fotoğrafı
Hannah1 yıl önce

Is that Claire from Outlander?

VITA profil fotoğrafı
VITA1 yıl önce

Song????

Benzer Videolar

VIDEO: Askofu wa Jimbo Katoliki la Musoma, Michael George Mabuga Msonganzila, amewataka waumini na viongozi wa dini nchini kutokubeba jazba wala kujiingiza katika mijadala ya matusi, lawama na kejeli inayoibuka mitandaoni na kwenye mikutano ya kijamii, akisema kuwa njia ya Kristo ni ya upole, uvumilivu, huruma na kutanguliza haki. Akizungumza kufuatia mfululizo wa matamko kutoka taasisi kadhaa za Kikristo na Kiislamu kuhusu matukio ya wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu, huku baadhi ya kauli zikiishambulia Kanisa Katoliki kwa kile kilichoelezwa kuwa ni uchochezi dhidi ya amani ya nchi, Askofu Msonganzila amesema kuwa migogoro na kejeli haviwezi kuizima nguvu ya ukweli. “hamna sababu ya kuijibu, ni kuinyamazia tu wakati mwingine watu wakisema sisi tumeenda shule sio zamani, kwani kwenda shule ni shida? Shida ni kusoma, shida ni kuelimika, sasa kuzozanazozana katika misingi hiyo haina haja- ni kunyamaza kama Kristo aliyedhihakiwa: Wewe si ni mwana wa Mungu Jiokoe basi nafsi yako, Nyamaza kimya endelea kusali”, amesema. Askofu Msonganzila amesisitiza kuwa nguvu ya maneno ya kupotosha haiwezi kuzidi uzito wa maadili, utu, na dhamira njema ya Kanisa, akionya kuwa matusi na vitisho ambavyo vimekuwa vikitolewa haviwezi kubadilisha msingi wa imani wala wajibu wa viongozi wa dini kusimama katika kweli. “Mahangaiko yakitokea ndugu zangu tusiogope kwa sababu ndio Kristo amepitia njia hiyo, Kanisa Katoliki linaweza likateseka kwa njia za namna hiyohiyo na matishio mbalimbali: umemwaga ugali tutamwaga mchuzi, tutawakatakata- tusiogope Mungu yupo”, ameeleza. Ameongeza kuwa ufalme wa Mungu haujengwi kwa hasira, vitisho au ubabe, bali kwa misingi ya huruma, mapendo, upatanisho, haki, unyenyekevu na uvumilivu. “Ufalme wa Mungu ni ufalme wa huruma na mapendo, haki, upole, upatanisho, tukiteseka kwa njia hiyo na tuteseke lakini haki na amani, upole na unyenyekevu na upatanisho ndio ziwe sare zetu, tumsifu Yesu Kristo”, ameeleza. Kauli ya Askofu Msonganzila imekuja wakati ambapo mjadala kuhusu nafasi ya viongozi wa dini katika kueleza ukweli wa kijamii na kisiasa umeendelea kushika kasi, huku baadhi ya taasisi za kiimani zikitoa matamko yanayopingana kuhusu misimamo ya Kanisa Katoliki na makundi mengine ya kijamii kuhusu mwenendo wa uchaguzi na matukio yaliyotokea wakati na baada ya uchaguzi mkuu wa Tanzania.

Jambo TV

13,617 görüntüleme • 6 ay önce