Video yükleniyor...
Video Yüklenemedi
Challenge imefika Emirate sasa 🤣🤣🤌
26,154 görüntüleme • 11 ay önce •via X (Twitter)
18 Yorum

@Enemy_19 Waarabu husherehekea hii siku. Ni masheikh ubwabwa wa bongo tu ndio wanapinga birthday ya yesu💯

Kumbe 😂😂

@Enemy_19 Kitu ambacho hawakubali ni kifo chake ila birthday ni siku kuu kabisa kwao

@Enemy_19 😂😂😂😂 ficha hii bakwata wasiione, italeta shida

@Enemy_19 Nyie ndio mmefanywa hamna akili, wenzenu dini ni biashara, na huyo Mungu ni hayupo

Huko ilikotokea ata hawanaga mambo mengi kama sisi huku

@Enemy_19 😳

Nini tajiri

@Enemy_19 nilijua wanaasoma dua kumbe....

@Enemy_19 Christmas Mubaraka

@Enemy_19 Bora wamefanya wenyewe ila akifanya mbongo aise waarabu wa Nanjilinji watamshambulia mbaya kabisa sijui wanakuaga na shida gani hawa waarabu wa kuchovya toleo la 8🤔

@Enemy_19 😂😂

@Enemy_19 🤣😂

@Enemy_19 🤣🤣🤣🤣

😂😂

@Enemy_19 😂😂😂😂😂

@Enemy_19 😂 😂 😂

@Enemy_19 Alafu kuna mijitu ambayo dini imeletewa inashupaza shingo kuwaita wenzao makafiri wakati wenye dini yao wanakula bata na wala hawana habari, shubamitiiii..... Watu wadini tusome maandiko ya dini zote vizuri na kuyaelewa si kukaririkariri tu... Haya sasa wenye dini yao hao🤣😂
Benzer Videolar
Sensitive content
في المسجد الكبير في صنعا مبايعة المرشد الإيراني الجديد اصبروا شوي شكله بيلحق ابوه 🤌🤌🤌🤣🤣🤣🤣🤣🤣
تأبط شرا (ابومنيف)
31,801 görüntüleme • 7 ay önce
