Video wird geladen...
Video konnte nicht geladen werden
Cheki Audience wanavyoitikia .... Yoooo 🔥🔥🔥
22,936 Aufrufe • vor 1 Jahr •via X (Twitter)
14 Kommentare

Jana, Kulikuwa na Show ya Bongo Flavour Honours.... Ambapo Queen wa Bongo Flavour... Alikonga nyoyo za watu wengi, kwa perfomance yake matata sana!! Huyu kweli anastahili kuitwa Queen wa Bongo Flavor and Perfomance... Angalia ilivyokuwa.... Videos kwa Comments👇

Say kwagala...

Jide na AY

Kweli hukumbuki...

Jide na Prof..

Jide na Sugu...

Hii ndio maana ya show sjaona shabiki kumwagiwa maji wala kulazmishwa kuweka mikono juu,kuimba au kuambiwa tuendelee ama tusiendelee. NI MUZIKI MZURI HADI UNAJIKUTA UNA SING-ALONG yes! HUWEZI ZUIA VIBE.🔥 @JideJaydee umeset the standard very high, waimbaji wa sasa wajifunze hapa

Huko mvua imeanza kunyesha mwishoni

Mmh si ni papai ilo alafu cameraman amemzoom kabisa kmmk lake uyo papai ningekuwa karibu ningeenda na kiboko angekula sticks zakutosha mpaka waje wanishike watu kmmk

Asa uyo camera man kutuonesha uyo kocho kaharibu mbona

Huyu ni mwenzetu kwel😎

Aisee

@JideJaydee Hahahaaa Aggrey

Hana mpinzani aloo
Ähnliche Videos
YOOOO THIS WAS AN AMAZING PERFOMANCE HOLY SHIIIIIT 😭🔥🔥🔥🔥🔥
Accelerator
293,389 Aufrufe • vor 10 Monaten
