11 Comments
Comments from the original post on X (Twitter)

@Rydx_017
Tapeli kapatikana leo🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Kapiga simu anataka Kumtapeli GLADNESS KIFULA! Ohhh kuna wazungu wanataka kuwekeza 🤣🤣🤣 Mpaka wakamtukana... Video kwa Comments👇🏾
441 likes

@null000n
Kila kazi inaitaji elimu aisee!🤔
1 like

@DavidRemmy_003
Wawekezaji wanataka kuwezeka!!. 😂😂😂
1 like

@chosen_yf
Ila chris😁

@mrjoohv1
tuigizeni vzri bn

@julius63342
Nipo mjn tangu polisi wanavaa mzura,mwenyew tu anaonekana wa 95 huo ni uongo naww dada

@mwiba09
Daaahhh eti Afisa Biashara - Tanzania, ila kuna watu niwa ajabu sana kweli kabisa jamaa kashupaza shingo anataka kukusaidia ata hakujui kwanini asimsaidie Baba au Mama yake kama wapo au ndugu zake... UTAPELI wa kifoo sana

@JJerry4781
Christopher huyo

@JJerry4781
Inaonekana wazungu wanawekeza Hadi kwenye pumba

@SukaMediaTZ
Maisha magumu 😄

@bernfaza
Afisa biashara Tz 😂