Video wird geladen...

Video konnte nicht geladen werden

Zur Startseite

20,381 Aufrufe โ€ข vor 2 Monaten โ€ขvia X (Twitter)

36 Kommentare

Profilbild von Muebrania
Muebraniavor 2 Monaten

Katika kumbukumbu zangu hakuna chuma nimeziona zinatembezwa kama meaning nice za kusini kummmk

Profilbild von bbyliler pmg
bbyliler pmgvor 2 Monaten

Zigo lalawama watapewa madereva ila hata ww ukipewa iyo chuma kutembea 80 ni uongo Kwanini wasiboreshe miundo mbinu ili kutembea 100plus tusione kama ni kitu cha ajabu๐Ÿฅบ Ukitaka kujua waulize wanaoenda Kenya baada ya kuvuka mpaka wanatembea na Ngapi

Profilbild von ochola..๐Ÿฆ…โš ๏ธ
ochola..๐Ÿฆ…โš ๏ธvor 2 Monaten

Cheki to hizo barabara zilivyo mabonde mabonde sijui madereva wanapata raha Gani kukimbizana sehem kama hizo ๐Ÿ™Œ๐Ÿ’”

Profilbild von Kuboja
Kubojavor 2 Monaten

Mnapenda sana kupigwa faini unarecord huku unafanya overtaking kwenye mstari usioruhusu

Profilbild von X-FACTOR
X-FACTORvor 2 Monaten

barabara zetu mbovu sana

Profilbild von Young Man
Young Manvor 2 Monaten

Kitonga Hii Njia Panda Ya Kiziko.

Profilbild von DOCHA ๎จ€
DOCHA ๎จ€vor 2 Monaten

Hapo vts zinalia kinoma

Profilbild von Chief Kimbawala ๐ŸŒ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
Chief Kimbawala ๐ŸŒ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟvor 2 Monaten

Chuma za kusini hizo

Profilbild von DETU
DETUvor 2 Monaten

Njia ya lindi hii ni mbaya kinoma

Profilbild von Mr electrician
Mr electricianvor 2 Monaten

King Yasin na maning nice wanaonyeshana umwamba road huko

Profilbild von KOBBIE MAINOO๐Ÿ’Ž
KOBBIE MAINOO๐Ÿ’Žvor 2 Monaten

Nimekubali hio ishara ya king๐ŸซกGO AHEAD

Profilbild von Mbeumoo_mrefu
Mbeumoo_mrefuvor 2 Monaten

Oyaa hizo barabara za kusini ni mbovu kichizi ila bus linavyotupwa๐Ÿ™Œ๐Ÿพ

Profilbild von Trica Online Store๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฆ
Trica Online Store๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฆvor 2 Monaten

kusini hii

Profilbild von Attacking Midfielder
Attacking Midfieldervor 2 Monaten

VTS zinalia kama mtoto alieachwa na mama ake bila kunyonya

Profilbild von Son of Kilimanjaro๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
Son of Kilimanjaro๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟvor 2 Monaten

Kama hupend mwendokasi kwenye mabasi panda za mchana

Profilbild von MATAIRI ORG
MATAIRI ORGvor 2 Monaten

Hizi barabara ni nyembamba sana aiseeh, hapo dereva akisinzia kidogo tu kwa huo mwendo anajikuta porini.

Profilbild von Nyeusi ya Mapasta
Nyeusi ya Mapastavor 2 Monaten

Umechoma

Profilbild von The Kyejo
The Kyejovor 2 Monaten

Ndege za barabarani

Profilbild von Erick Mmbaga
Erick Mmbagavor 2 Monaten

Ila Nchi yetu ina Barabara mbaya sana... Basi tu...

Profilbild von Dady Joseph
Dady Josephvor 2 Monaten

Ndo mana ndugu zetu wanakufa aiseeee

Profilbild von Alien ๐Ÿ‘ฝ๐Ÿ‘ฝ
Alien ๐Ÿ‘ฝ๐Ÿ‘ฝvor 2 Monaten

Usiku haya madude yanayembea mno

Profilbild von navil๐Ÿฆ…
navil๐Ÿฆ…vor 2 Monaten

Buti la zungu akizila king na maning

Profilbild von UMOJA WA HAKI ZA MADEREVA@๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡ผ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡ผ๐Ÿฅฐ๐Ÿ™
UMOJA WA HAKI ZA MADEREVA@๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡ผ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡ผ๐Ÿฅฐ๐Ÿ™vor 2 Monaten

Anazitupa haswa

Profilbild von navil๐Ÿฆ…
navil๐Ÿฆ…vor 1 Monat

Naam

Profilbild von My64impala๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ
My64impala๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑvor 2 Monaten

Ndiyo nyie watu wakifa kwenye ajali mnasikitika wakati mnashangilia speed ya juu?

Profilbild von Chura
Churavor 2 Monaten

Mambo ya night hali wakati mnakoroma

Profilbild von UMOJA WA HAKI ZA MADEREVA@๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡ผ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡ผ๐Ÿฅฐ๐Ÿ™
UMOJA WA HAKI ZA MADEREVA@๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡ผ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡ผ๐Ÿฅฐ๐Ÿ™vor 2 Monaten

Arafu latra wanadanganya 85 vtc wakati wanajua walicho kifanya

Profilbild von Chura
Churavor 2 Monaten

Kuna wale wa Mpanda dar...wakifika tabora kwenda Mpanda wanacheza 130...ila barabara zina ruhusu

Profilbild von Ceaser
Ceaservor 2 Monaten

@munyamambogo Nenga labda ila sio mory!

Profilbild von Chura
Churavor 2 Monaten

@munyamambogo Huyu huyu...kama wewe ni dereva huwezi pata usingiz jinsi higer inateleza

Profilbild von Emanuel Mkumbwa
Emanuel Mkumbwavor 2 Monaten

Mabaraba pia ni mabovu

Profilbild von CodeMetal
CodeMetalvor 2 Monaten

Tusije tu kuanza kuwatupia lawama LATRA๐Ÿ˜…

Profilbild von solo bonge
solo bongevor 2 Monaten

Hiz barabara kwann bdo zipo vile vile miak yoye ni ndogo san

Profilbild von Ghost
Ghostvor 2 Monaten

๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€ Kuna siku nipo Nyihogo kwa ajili ya service mzee mmoja akasema aliamua kuacha u pilot wa Buses maana muda wote unakua kama kichaa, ni kumwaga moto road ..

Profilbild von Athumani Labani
Athumani Labanivor 1 Monat

Nmedandia sana hizi Manning nice route ya Dar- Mtwara kipindi napiga O level Mtwara Tech sec

Profilbild von Kisado
Kisadovor 2 Monaten

Buti la Zungu ukipanda mara moja kama hauja roho ngumu hautarudia tena kupanda ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

ร„hnliche Videos