Loading video...
Video Failed to Load
Chuma zinatupwa haswaa๐๐๐๐๐๐ฒ๐ผ
20,381 views โข 2 months ago โขvia X (Twitter)
36 Comments

Katika kumbukumbu zangu hakuna chuma nimeziona zinatembezwa kama meaning nice za kusini kummmk

Zigo lalawama watapewa madereva ila hata ww ukipewa iyo chuma kutembea 80 ni uongo Kwanini wasiboreshe miundo mbinu ili kutembea 100plus tusione kama ni kitu cha ajabu๐ฅบ Ukitaka kujua waulize wanaoenda Kenya baada ya kuvuka mpaka wanatembea na Ngapi

Cheki to hizo barabara zilivyo mabonde mabonde sijui madereva wanapata raha Gani kukimbizana sehem kama hizo ๐๐

Mnapenda sana kupigwa faini unarecord huku unafanya overtaking kwenye mstari usioruhusu

barabara zetu mbovu sana

Kitonga Hii Njia Panda Ya Kiziko.

Hapo vts zinalia kinoma

Chuma za kusini hizo

Njia ya lindi hii ni mbaya kinoma

King Yasin na maning nice wanaonyeshana umwamba road huko

Nimekubali hio ishara ya king๐ซกGO AHEAD

Oyaa hizo barabara za kusini ni mbovu kichizi ila bus linavyotupwa๐๐พ

kusini hii

VTS zinalia kama mtoto alieachwa na mama ake bila kunyonya

Kama hupend mwendokasi kwenye mabasi panda za mchana

Hizi barabara ni nyembamba sana aiseeh, hapo dereva akisinzia kidogo tu kwa huo mwendo anajikuta porini.

Umechoma

Ndege za barabarani

Ila Nchi yetu ina Barabara mbaya sana... Basi tu...

Ndo mana ndugu zetu wanakufa aiseeee

Usiku haya madude yanayembea mno

Buti la zungu akizila king na maning

Anazitupa haswa

Naam

Ndiyo nyie watu wakifa kwenye ajali mnasikitika wakati mnashangilia speed ya juu?

Mambo ya night hali wakati mnakoroma

Arafu latra wanadanganya 85 vtc wakati wanajua walicho kifanya

Kuna wale wa Mpanda dar...wakifika tabora kwenda Mpanda wanacheza 130...ila barabara zina ruhusu

@munyamambogo Nenga labda ila sio mory!

@munyamambogo Huyu huyu...kama wewe ni dereva huwezi pata usingiz jinsi higer inateleza

Mabaraba pia ni mabovu

Tusije tu kuanza kuwatupia lawama LATRA๐

Hiz barabara kwann bdo zipo vile vile miak yoye ni ndogo san

๐๐๐ Kuna siku nipo Nyihogo kwa ajili ya service mzee mmoja akasema aliamua kuacha u pilot wa Buses maana muda wote unakua kama kichaa, ni kumwaga moto road ..

Nmedandia sana hizi Manning nice route ya Dar- Mtwara kipindi napiga O level Mtwara Tech sec

Buti la Zungu ukipanda mara moja kama hauja roho ngumu hautarudia tena kupanda ๐๐

