正在加载视频...

视频加载失败

20,381 次观看 • 2 个月前 •via X (Twitter)

36 条评论

Muebrania 的头像
Muebrania2 个月前

Katika kumbukumbu zangu hakuna chuma nimeziona zinatembezwa kama meaning nice za kusini kummmk

bbyliler pmg 的头像
bbyliler pmg2 个月前

Zigo lalawama watapewa madereva ila hata ww ukipewa iyo chuma kutembea 80 ni uongo Kwanini wasiboreshe miundo mbinu ili kutembea 100plus tusione kama ni kitu cha ajabu🥺 Ukitaka kujua waulize wanaoenda Kenya baada ya kuvuka mpaka wanatembea na Ngapi

ochola..🦅⚠️ 的头像
ochola..🦅⚠️2 个月前

Cheki to hizo barabara zilivyo mabonde mabonde sijui madereva wanapata raha Gani kukimbizana sehem kama hizo 🙌💔

Kuboja 的头像
Kuboja2 个月前

Mnapenda sana kupigwa faini unarecord huku unafanya overtaking kwenye mstari usioruhusu

X-FACTOR 的头像
X-FACTOR2 个月前

barabara zetu mbovu sana

Young Man 的头像
Young Man2 个月前

Kitonga Hii Njia Panda Ya Kiziko.

DOCHA  的头像
DOCHA 2 个月前

Hapo vts zinalia kinoma

Chief Kimbawala 🌍🇹🇿 的头像
Chief Kimbawala 🌍🇹🇿2 个月前

Chuma za kusini hizo

DETU 的头像
DETU2 个月前

Njia ya lindi hii ni mbaya kinoma

Mr electrician 的头像
Mr electrician2 个月前

King Yasin na maning nice wanaonyeshana umwamba road huko

KOBBIE MAINOO💎 的头像
KOBBIE MAINOO💎2 个月前

Nimekubali hio ishara ya king🫡GO AHEAD

Mbeumoo_mrefu 的头像
Mbeumoo_mrefu2 个月前

Oyaa hizo barabara za kusini ni mbovu kichizi ila bus linavyotupwa🙌🏾

Trica Online Store🇹🇿🇨🇦 的头像
Trica Online Store🇹🇿🇨🇦2 个月前

kusini hii

Attacking Midfielder 的头像
Attacking Midfielder2 个月前

VTS zinalia kama mtoto alieachwa na mama ake bila kunyonya

Son of Kilimanjaro🇹🇿 的头像
Son of Kilimanjaro🇹🇿2 个月前

Kama hupend mwendokasi kwenye mabasi panda za mchana

MATAIRI ORG 的头像
MATAIRI ORG2 个月前

Hizi barabara ni nyembamba sana aiseeh, hapo dereva akisinzia kidogo tu kwa huo mwendo anajikuta porini.

Nyeusi ya Mapasta 的头像
Nyeusi ya Mapasta2 个月前

Umechoma

The Kyejo 的头像
The Kyejo2 个月前

Ndege za barabarani

Erick Mmbaga 的头像
Erick Mmbaga2 个月前

Ila Nchi yetu ina Barabara mbaya sana... Basi tu...

Dady Joseph 的头像
Dady Joseph2 个月前

Ndo mana ndugu zetu wanakufa aiseeee

Alien 👽👽 的头像
Alien 👽👽2 个月前

Usiku haya madude yanayembea mno

navil🦅 的头像
navil🦅2 个月前

Buti la zungu akizila king na maning

UMOJA WA HAKI ZA MADEREVA@🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇷🇼🇷🇼🥰🙏 的头像
UMOJA WA HAKI ZA MADEREVA@🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇷🇼🇷🇼🥰🙏2 个月前

Anazitupa haswa

navil🦅 的头像
navil🦅1 个月前

Naam

My64impala🇺🇦🇺🇸🇹🇿🇮🇱 的头像
My64impala🇺🇦🇺🇸🇹🇿🇮🇱2 个月前

Ndiyo nyie watu wakifa kwenye ajali mnasikitika wakati mnashangilia speed ya juu?

Chura 的头像
Chura2 个月前

Mambo ya night hali wakati mnakoroma

UMOJA WA HAKI ZA MADEREVA@🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇷🇼🇷🇼🥰🙏 的头像
UMOJA WA HAKI ZA MADEREVA@🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇷🇼🇷🇼🥰🙏2 个月前

Arafu latra wanadanganya 85 vtc wakati wanajua walicho kifanya

Chura 的头像
Chura2 个月前

Kuna wale wa Mpanda dar...wakifika tabora kwenda Mpanda wanacheza 130...ila barabara zina ruhusu

Ceaser 的头像
Ceaser2 个月前

@munyamambogo Nenga labda ila sio mory!

Chura 的头像
Chura2 个月前

@munyamambogo Huyu huyu...kama wewe ni dereva huwezi pata usingiz jinsi higer inateleza

Emanuel Mkumbwa 的头像
Emanuel Mkumbwa2 个月前

Mabaraba pia ni mabovu

CodeMetal 的头像
CodeMetal2 个月前

Tusije tu kuanza kuwatupia lawama LATRA😅

solo bonge 的头像
solo bonge2 个月前

Hiz barabara kwann bdo zipo vile vile miak yoye ni ndogo san

Ghost 的头像
Ghost2 个月前

😀😀😀 Kuna siku nipo Nyihogo kwa ajili ya service mzee mmoja akasema aliamua kuacha u pilot wa Buses maana muda wote unakua kama kichaa, ni kumwaga moto road ..

Athumani Labani 的头像
Athumani Labani1 个月前

Nmedandia sana hizi Manning nice route ya Dar- Mtwara kipindi napiga O level Mtwara Tech sec

Kisado 的头像
Kisado2 个月前

Buti la Zungu ukipanda mara moja kama hauja roho ngumu hautarudia tena kupanda 😂😂

相关视频