Video wird geladen...
Video konnte nicht geladen werden
Chupa moja ya ziada is out
31,551 Aufrufe • vor 1 Jahr •via X (Twitter)
10 Kommentare

@ringunger @PanAuthentik Moja kati ya ngoma yangu pendwa ndani ya A Figure Father. Kama na wewe unamkubari Vin kama ninavyomkubari naomba likes za kutosha hapa 😁😁

@ringunger @PanAuthentik Dizasta Vina Atengwe

@ringunger @PanAuthentik Malipo gani ya kurudisha pumzi kwenye mwili wa mtu tena uhai hata kwa hela tu haukopwi

@ringunger @PanAuthentik Hii story imesimuliwa kutoka mwisho kwenda mwanzo

@ringunger @PanAuthentik Nafikiri ni muda kutumia Spiderweb doctrine kununua kazi zako ili tukupe heshima ya craft yako ukiwa na pesa "Liquidity ". Spider web doctrine Theory: Kila anayekubali kazi yako anapaswa kununua albam zako na kisha kuwajuza watu 10 ,na kila mmoja ndani ya watu awaambie watu 10

@ringunger @PanAuthentik Ringle kama kawaida yake kaua saana humo 🧠🧠🇹🇿🇹🇿🎖

@ringunger @PanAuthentik Mimi hizi beat waga zinanikosha sana

@ringunger @PanAuthentik Bonge moja la chupa ndani ya father figure

@ringunger @PanAuthentik Best FLASHBACK MASTERPIECE ever seen🔥🔥🔥

@ringunger @PanAuthentik Hey @Be_FrankSr the GOAT is here

