Video wird geladen...

Video konnte nicht geladen werden

Zur Startseite

105,360 Aufrufe • vor 3 Monaten •via X (Twitter)

0 Kommentare

Keine Kommentare verfügbar

Kommentare vom Original-Post werden hier angezeigt

Ähnliche Videos

Ini lagi teler kecubung kah?? Jujur janggal!!
0:49

Sensitive content

Ini lagi teler kecubung kah?? Jujur janggal!!

T-REX 🦖

68,826 Aufrufe • vor 5 Tagen

Mhe. Rais Samia Suluhu , nimeona mahali ukilalamika kwamba "kesi zetu nyingi zikienda kwenye mahakama za nje za kimataifa tunashindwa." Lakini naomba kukuuliza swali, umeshawahi kufuatilia hao unaowatuma huko mahakama za nje ukajua kwa nini tunashindwa? Kwa mfano, sikiliza haya mahojiano ya shahidi wetu ambaye pia ni mwanasheria dhidi ya mwanasheria wao. Mwanasheria wao: Mr Genge, umesema kwamba mteja wetu alivunja sheria na taratibu za nchi yako. Ulifanya utafiti kugundua hilo? Mwanasheria wetu (Mr. Genge): Sijafanya tafiti, hilo halihitaji tafiti. Mwanasheria wao: Kama haujatafiti ulijuaje kwamba anavunja sheria? Mwanasheria wetu: ????? Mwanasheria wao: Mr. Genge, kwenye ushahidi wako umesema kwamba mteja wetu alivunja kanuni kwenye kifungu cha 123 cha sheria ya madini Tanzania ya mwaka 2010. Ndio au sio? Mwanasheria wetu (Mr. Genge): Ndio kama nilivyoeleza kwenye ushahidi wangu. Mwanasheria wao: Lakini hakuna kifungu nambari 123 kwenye sheria ya madini ya Tanzania ya mwaka 2010. Unaweza kutuonesha? Mwanasheria wetu (Mr. Genge): Labda kitakuwa kwenye sheria iliyorekebishwa. Mwanasheria wao: Lakini tumeangalia pamoja kwenye hiyo iliyorekebishwa na hicho kifungu hakipo na hicho tunachokidhania ndio chenyewe hakina maelezo uliyoyatoa. Mwanasheria wetu (Mr. Genge): Sio mimi ninayehusika kuleta viambatanisho hapa kwenye tribunal. Mwanasheria wao: Lakini sheria uliyoirejea kwenye maelezo yako ndio hii tunayoisoma hapa. Una uhakika ulipata nafasi ya kuisoma kabla ya kuirejea? Mwanasheria wetu (Mr. Genge): Sikupata nafasi ya kuipitia, nimeamka asubuhi sijisikii vizuri.🤔 Mhe. Rais Samia Suluhu , baada ya kuangalia ile crossexamination ya Prof. Mruma na hii ya bwana Genge, bado haujaelewa kwa nini tunashiindwa huko kimataifa? Bado hauoni sababu ya kuishinda IGO ya kisiasa na kupiga chini ule mkataba wa bandari ambao ni dhahiri shahiri kwamba unaenda kutuingiza kwenye haya haya?? Upo wapi uwajibikaji????

(---) Onesmo Mushi

59,139 Aufrufe • vor 2 Jahren

Keringetan banget, kamu jijik gak?
0:28

Sensitive content

Keringetan banget, kamu jijik gak?

Sean

455,775 Aufrufe • vor 5 Tagen