Video wird geladen...

Video konnte nicht geladen werden

Zur Startseite

๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช comedian โœŠ๐Ÿพ ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ come-diana. ๐Ÿ˜ญ

90,866 Aufrufe โ€ข vor 2 Jahren โ€ขvia X (Twitter)

29 Kommentare

Profilbild von Tito Magoti
Tito Magotivor 2 Jahren

Dada Kiboga @JotiOfficial kwema?

Profilbild von X.Mbatu
X.Mbatuvor 2 Jahren

Joti alishuti jirani na dimbwi katika ya barabara..naa anawachamba watu kuisoma namba.. Uzuri namba tunasomaga nao

Profilbild von ๐™ผ๐š๐šŠ๐š ๐š’๐š๐š‘๐š’ ืคึฐึผื ื•ึผืึตืœ ๐Ÿฉบ
๐™ผ๐š๐šŠ๐š ๐š’๐š๐š‘๐š’ ืคึฐึผื ื•ึผืึตืœ ๐Ÿฉบvor 2 Jahren

Alishaniblock huyo Uoga wa hali ya juu๐Ÿšฎ

Profilbild von Mukubwa.
Mukubwa.vor 2 Jahren

Watanzania ni watu wajinga sana Martin wapo kama mazombie hawajielewi hata kidogo, njaa haijawapiga sawa sawa watakuja kupata akili.

Profilbild von Daniel kalisa
Daniel kalisavor 2 Jahren

I walikosea kurekodia wimbo kama huo kwenye barabara mbovu yenye madimbwi ya matope tena mjini !! Hiyo inaharibu image ya chama kinachoimbwa ktk kuleta maendeleo. Ila umelinganisha kifo na usingizi, HAVIFANANI KAMWE NA HAVILINGANISHIKI.

Profilbild von MseCco Jr
MseCco Jrvor 2 Jahren

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Profilbild von Nsajigwa Mwakalonge
Nsajigwa Mwakalongevor 2 Jahren

Tatizo watanzania wenyewe hawamjui adui yao kwa uwizi uliotamalaki kwa uwizi ulitajwa kwenye ripoti ya mkaguzi wa fedha za serikali amebainisha uwizi wa fedha za watanzania ukizijumlisha zinafika zaidi ya trillion tatu kwa mwaka mmoja ila wezi hawajakamatwa

Profilbild von The kiddo
The kiddovor 2 Jahren

Usimfananishe Mondi na chawa wa mama๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

Profilbild von Evance jacob
Evance jacobvor 2 Jahren

Damn so fucking strategic idear.. sku sio nying eric atakuwa member of pariament au 2027 anaweza kuomba kiti

Profilbild von ๐‘ซ๐’†๐’Ž๐’˜๐’Š๐’•๐Ÿ–ค
๐‘ซ๐’†๐’Ž๐’˜๐’Š๐’•๐Ÿ–คvor 2 Jahren

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ’”๐Ÿ’”๐Ÿ’”

Profilbild von Matarange
Matarangevor 2 Jahren

Inaumiza sana

Profilbild von Massawe01
Massawe01vor 2 Jahren

Erick Omond dah! Jamaa jasori Sana hana uoga huyu ni mfano wa kupigwa... Hii ingine acha tu abaki na mavilemba yake

Profilbild von JoeKasley
JoeKasleyvor 2 Jahren

Binadamu mwenye utashi anapaswa kuheshimu utu wa mtu pamoja na ku "ACCEPT DIFFERENCES" Omondi awe na character zake na Joti awe na zake. Wanasiasa wakianza kupangia comedians namna ya kuishi au ku behave wanatupa ujumbe kua ni madikteta wa hadi hisia za wananchi. Heshimu UTU.

Profilbild von Frank Edson Cavan
Frank Edson Cavanvor 2 Jahren

Huyu kibwengo matopeni, hana usalama hapo nyuma

Profilbild von MamaLand Tz
MamaLand Tzvor 2 Jahren

Inaumiza sana!...., Natafakari maneno ya askari wa kenya "atawaambia nini watoto wake"... ..Ni kweli maana ninauhakika hajawaachia chochote cha maana hivyo wataishi kwenye umaskini na kisha watakumbuka Baba yao mlemavu kwa sababu ya kurushia bomu waliokuwa wanataka better yao

Profilbild von ASKOFU ๐Ÿฅ_UNITED BINGWA EPL 2026/27
ASKOFU ๐Ÿฅ_UNITED BINGWA EPL 2026/27vor 2 Jahren

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Profilbild von Indigo
Indigovor 2 Jahren

Nimecheka kama mazuri

Profilbild von Hassan juma
Hassan jumavor 2 Jahren

Come dayana

Profilbild von Sam
Samvor 2 Jahren

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Profilbild von Mr. Magnifico
Mr. Magnificovor 2 Jahren

Lipike kmmmk hilo ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Profilbild von Prof Wainduru Maina Jr.๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฒ
Prof Wainduru Maina Jr.๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฒvor 2 Jahren

Huyo takataka wa kwenu is really a something else..

Profilbild von FX YZ
FX YZvor 2 Jahren

Sipo upande wowote Kati ya joti au Martin wote washamba tu Joti anatetea ugali wake kwa kufanya komed Martin anatetea mabeberu wake wa kichaga Nyie wote takataka kabisaaaaaaaaaaaaaa shubaamiti

Profilbild von Japhet bahitwa
Japhet bahitwavor 2 Jahren

Data kiboga

Profilbild von ยฒยฒ22
ยฒยฒ22vor 2 Jahren

๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜

Profilbild von Mtagamalee@gmail.com
[email protected]vor 2 Jahren

Ccm wameshika mirija ya chakula nchi hii kaka,watakufa njaa wasanii wakiingia huko.

Profilbild von Taidi tughimbe
Taidi tughimbevor 2 Jahren

Kiboga muuza maboga

Profilbild von LemmeEmKnow
LemmeEmKnowvor 2 Jahren

Mimi ningekuwa kwenye harrier humo huyo angeoga tope kmmmke

Profilbild von K.moeโœŒ๏ธ
K.moeโœŒ๏ธvor 2 Jahren

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Profilbild von Obrieli Aliko
Obrieli Alikovor 2 Jahren

Usingizi wa kwenye kiti na kifoo haki

ร„hnliche Videos