Video yükleniyor...
Video Yüklenemedi
CR: Jamii Forums
27,549 görüntüleme • 2 yıl önce •via X (Twitter)
10 Yorum

angel bellerin022 yıl önce
Duh hii nchi

Gery2 yıl önce
Shida tupu

JK2 yıl önce
@angelbellerin02 Hii angekuepo hayati JPM wangeambiwa warudishe hiyo hela

Gery2 yıl önce
@angelbellerin02 Yule ndiyo alikua hovyo na kikosi kazi kile.

salum salum2 yıl önce
Ndio mana wanavimba sana

G o n z a l o 🤟🏾2 yıl önce
Huwa tunalalamikia matokeo tu, ilikuaje deni mpaka linafika 64M? Maana yake huyu alikua mkwepa kodi, Yan wafanya biashara huwa wanatamani kwanza wasilipe kodi na hata akilipa alipe kidogo, sasa nchi itapata wapi pesa? Na upo unafanya biashara nchi husika?Fraud everywhere.

Ødegaard2 yıl önce
Dawa ni kuweka hela kwenye magunia 😂😂😂

Aaron Bushnell2 yıl önce
Hii nchi kila sekta ina wezi

TheMan2 yıl önce
Hiz sheria huwez pata wawekezej wenye akil timamu walah

Raphael Mheta2 yıl önce
Duh hii sio salama kabisa

