Loading video...
Video Failed to Load
Crazy Friday ๐ฅ๐๐ฟ
15,164 views โข 3 years ago โขvia X (Twitter)
10 Comments

Wa moshi Kilimanjaro 88.7 mapema sana mjengoni #XXL tunaenjoy mziki mzuri kama vip DJ apite na goma la @makomando ft @chino kid _mtego huo itakua pow san big up kwa @officialMKEREWE ,@frankkachelewaa ,@OBaraka21 na @Simon_Machibya

Hii ngoma ya canabinoo na rapcha, natamanig ishiie tu apa watafutwe madogo ambao wanaweza wakafanya remix, kalii ata wale A list Artist fresh tu ila iwe na remix yake hii! Nifikishie ujumbe wangu bro @KenTheRemedy #tunatakacheeeetufastaaaaaaaaโ๏ธ

Wa 88.7 moshi Kilimanjaro ayeeeee kukurukakara huku na kule mtegoni #bongoflevani mnasaji mkuu @KenTheRemedy mkombozi n the international @dj d_ommy yani hakuna kuchomoka mpaka Tisa alasiri big kwa @wacloudsania @frankkachelewaa ,@fredy_boy360 @izack_mremi na @officialMKEREWE

Bad man shata DJ ODG

Toka chiungutwa masasi pamoja sana nasikiliza XXL chama la wana nikiwa chiungutwa sokoni

Show ilikuwa ya kibabe sana unyama & unyamwezi wa kutosha, mpaka sasa ivi nairudia you tube ๐๐

๐๐ฟ๐๐ฟ๐๐ฟ๐๐ฟ๐๐ฟCANABINร

KUTOKA ITOBO NZEGA Nasikiliza XXL Ya CloudsFm

@dvjd_ommy ni bara lingine asee maana ni the international DJ

Bro ulikuwa na vibe โโโโ๐ฅ๐ฅ
