正在加载视频...

视频加载失败

15,168 次观看 • 3 年前 •via X (Twitter)

10 条评论

Danchibo Mnyama 的头像
Danchibo Mnyama3 年前

Wa moshi Kilimanjaro 88.7 mapema sana mjengoni #XXL tunaenjoy mziki mzuri kama vip DJ apite na goma la @makomando ft @chino kid _mtego huo itakua pow san big up kwa @officialMKEREWE ,@frankkachelewaa ,@OBaraka21 na @Simon_Machibya

KING'S MATERIAL 🖤 的头像
KING'S MATERIAL 🖤3 年前

Hii ngoma ya canabinoo na rapcha, natamanig ishiie tu apa watafutwe madogo ambao wanaweza wakafanya remix, kalii ata wale A list Artist fresh tu ila iwe na remix yake hii! Nifikishie ujumbe wangu bro @KenTheRemedy #tunatakacheeeetufastaaaaaaaa✈️

Danchibo Mnyama 的头像
Danchibo Mnyama3 年前

Wa 88.7 moshi Kilimanjaro ayeeeee kukurukakara huku na kule mtegoni #bongoflevani mnasaji mkuu @KenTheRemedy mkombozi n the international @dj d_ommy yani hakuna kuchomoka mpaka Tisa alasiri big kwa @wacloudsania @frankkachelewaa ,@fredy_boy360 @izack_mremi na @officialMKEREWE

MKEREWE official 的头像
MKEREWE official3 年前

Bad man shata DJ ODG

Nurdin Waid 的头像
Nurdin Waid3 年前

Toka chiungutwa masasi pamoja sana nasikiliza XXL chama la wana nikiwa chiungutwa sokoni

Eid Bale 的头像
Eid Bale3 年前

Show ilikuwa ya kibabe sana unyama & unyamwezi wa kutosha, mpaka sasa ivi nairudia you tube 😀😀

Comrade David Jackson 的头像
Comrade David Jackson3 年前

🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿CANABINÖ

Mikazo 的头像
Mikazo3 年前

KUTOKA ITOBO NZEGA Nasikiliza XXL Ya CloudsFm

MKEREWE official 的头像
MKEREWE official3 年前

@dvjd_ommy ni bara lingine asee maana ni the international DJ

Sam_Knows255 的头像
Sam_Knows2553 年前

Bro ulikuwa na vibe ✋✋✋✋🔥🔥

相关视频