Video wird geladen...

Video konnte nicht geladen werden

Zur Startseite

35,557 Aufrufe • vor 1 Jahr •via X (Twitter)

12 Kommentare

Profilbild von Latto 𝕏
Latto 𝕏vor 1 Jahr

Sikiliza alichosema Kiredio kuhusu Comments za watu za No Reform no Election. Video kwa Comments 👇

Profilbild von Latto 𝕏
Latto 𝕏vor 1 Jahr

Leo..

Profilbild von 🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿vor 1 Jahr

Watu wengi wanaogopa kunyooka moja kwa moja… wanatumia hii Njia kufikisha Ujumbe… BINAFSI NMEMUELEWA- na ujumbe wa #NRNE umeenda mbaali mno

Profilbild von Mr Health💊💉
Mr Health💊💉vor 1 Jahr

Huyu jamaa bora ange kaa kimya Tu..🚮

Profilbild von Kobisi
Kobisivor 1 Jahr

Huyu analeta utani kwenye mambo serious

Profilbild von Deodat Temba
Deodat Tembavor 1 Jahr

Baba ake angejua bora angevaa kondomu tu kuliko Kazaa hii ng'ombe

Profilbild von Ye🦍🦍
Ye🦍🦍vor 1 Jahr

Kwenye clafication of Non living things tunaitaga PAPAYA

Profilbild von CROWNSHELF📚📝🪄
CROWNSHELF📚📝🪄vor 1 Jahr

Tukisema watu wa insta akili zao hazipo sawa Kwahyo uyu ni celebrity an tangu watu waanze kusema no reform no election haelewi chochote daaah😂 kwanza ndio anaona saiz

Profilbild von Mr.Eagle 🦅
Mr.Eagle 🦅vor 1 Jahr

😂😂😂kumbe kuna watu hawajui lolote linaendelea nchini

Profilbild von ilitarakimura
ilitarakimuravor 1 Jahr

Huyu anaonekana hata shule hakuna,anashindwa kutamka no reform no election,eti no reformed,fala kweli

Profilbild von Tinah Mamantilie~mantilie wa X🥰
Tinah Mamantilie~mantilie wa X🥰vor 1 Jahr

Nime mu unfollow hyu🤣

Profilbild von Y🛞B🛞Y
Y🛞B🛞Yvor 1 Jahr

Huyu alipewa umaarufu wa bure.. hana hoja..

Ähnliche Videos