Loading video...

Video Failed to Load

Go Home

76,154 views • 3 years ago •via X (Twitter)

11 Comments

Malkia Nyuki 👑's profile picture
Malkia Nyuki 👑3 years ago

Danguro maarufu kinondoni limevamiwa sasa itakuwaje kwa vijana wa kupata utelezi wa buku 3🙌 Sema dar maisha magumu aisee kwa hivyo vyumba vimejaa UTI gonno zote lakini nyege hazina kinyaa na watu wanataka pesa Video hapo chini

𝐎𝐁𝐈 𓅓's profile picture
𝐎𝐁𝐈 𓅓3 years ago

Wanashindwa kukamata wala pesa za Umma , wanaoiba mabilioni ya kodi wanakwenda kukamata wanaojiuza . Misplaced priorities na kukosa Akili . Hakuna under 18 hata mmoja hapo inawauma nini ?

Abel's profile picture
Abel3 years ago

Kweli suti sikuizi zunavaliwa na watu wa hovyo unavaa suti kwenda kazini na kwenda kuwazalilisha wakina dada Aya mumewandaliaje mazingila ya kuachana na hayo

CHIKU's profile picture
CHIKU3 years ago

Ukimuonesha ndugu yangu wa Uyui na Ilolangulu kuwa hii ni Dar hawezi kukuelewa hata kidogo.

Awesu Ally (Mkubwa)'s profile picture
Awesu Ally (Mkubwa)3 years ago

Wapewe ajira maana mtoto ukimwambia usipite hapa muonyeshe njia mbadala.

P'site Shio's profile picture
P'site Shio3 years ago

Hizi ni room au vyoo? Daaaah inasikitisha mtu uzaliwe Ili ujiuze hapo

@mtanganyika's profile picture
@mtanganyika3 years ago

Itungwe sheria kama uko Uganda nyumba itakayotumika kama danguro itaifishwe iwe mali ya umma na mmiliki aende jera,hii itasaidia wamiliki wa nyumba kutoruhusu biashara hizo kwenye nyumba zao, nchi isiyo kuwa na maadili ni nchi iliyojaa majanga.

zee la vurugu~😂's profile picture
zee la vurugu~😂3 years ago

Aliyeanzisha msako amekosa kazi ya kufanya au alinyimwa shoo

MTU WA CHUGA❤'s profile picture
MTU WA CHUGA❤3 years ago

Ubakaji umepongua sana kwa sababu ya awa wadada hakika wanatakiwa wapewe maua yao na sio hivyo mnavyo wafanya sio poa kabisa.

amrythompson's profile picture
amrythompson3 years ago

Malaya hata umpe mtaji umpe ajira atarudi tu kujiuza akifkiria kwa mama ntilie kwa siku alipwe buku 4 sku nzima wakati akinyanduliwa hyo buku nne anaiingiza kwa dakika 10 na paka sku nzima inamaana anafunga hesabu hata 50k wanawake ni wavivu by nature wanapenda hela rahisi

Kikokotoo's profile picture
Kikokotoo3 years ago

Kiukweli ni ugumu wa maisha sidhani kama wanapenda hayo maisha sasa wafikirie jinsi yakuwasaidia siyo kuwatoa hapo mwisho hawajui watakwenda wapi na kufanya nn mwisho wataendelea na iyo ishu

Related Videos