Loading video...
Video Failed to Load
31,840 views • 4 months ago •via X (Twitter)
20 Comments

Macharii hawalali ndio maana maboss wanataka hao, anweza kwenda kahama mara 3 kwa wiki na fresh tu, machawi posho mezani

Bila miundombinu bora na kuacha sifa barabarani tutaisha wengi

Ajari nyingi za malori asilimia kubwa madereva huwa ni macharii tu !! Kuna shida pahala

R.i.p champion umefia katika uwanja wa mapambano ya kesho yko

Daah.😢

Sasa Hao Raia Wanauza Meno Badala Wainue Hiyo Kibin Wamtoe Mwenzao Daah!🤫

Dah! Tunadanja tukiwa wadgo kabsa

Daaah jamani MUNGU atusaidie

Mabroo wakongwe wa hizi kazi em tupeni codes bana. nyie mnawezaje kuepuka haya ?

Iyo wapi tena mkuu!?

Duuu

Dah💔😭

Duuuu inaumiza saana kwa kweli

Alipona kweli?

Katoka mzima?

chanzo nini hapa

Mdogo angu huyu tumempumzisha juzi allah ampe kauli thaabit

💔😭😭

Ajali za Tanzania kuanzia Bodaboda na magari yanaua Kwa maka kuliko Nchi zilizo kwenye vita. Kwanini nchi haiji na suluhisho la kudumu ?

Noma sana
Related Videos
Sensitive content
"sumveza u hot, nzawutyelwa ndinye alok"😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
sipelele
29,931 views • 6 months ago
