Video yรผkleniyor...
Video Yรผklenemedi
Daaah Jamaa sijui kama ata recover. ๐ ๐
63,705 gรถrรผntรผleme โข 1 yฤฑl รถnce โขvia X (Twitter)
39 Yorum

Dada nae ana ndizi za kuchoma ila kamuona mwenzie tu mbna yeye rangi ya ukoo kaikataa

Bora mwanamke kuliko Jamaa we unaweza kufanya kama jamaa??

Hapana over my dead body!!!na linaringaringa apo kama senge kichwa kama mbegu

Ndo hao huwa wanatukana sana humu

Kosa lake la kwanza ni kuwa Mweupe๐น๐น๐น mwanaume unakuaje mweupe

Watakumind LS we mzee.๐ ๐

Hata hivo ni bahati sana kwa mwanaume design hii kuhandle family mwanzo mwisho

Ndo wanakuja humu kusema tusioe single mama.๐ ๐

Kwenye single mother naweka mstari mwekundu aiseeยก!!

@Gaspinho15 hahaha hutak kucheka na kima

@Gaspinho15

Tattwwooooooorrr

Kwanza unamkaa vipi mtu kwasababu eti "mweupe" hii ni inshara ya kukosa akili sana. Yaani metrics zako za kupima watu ni za kipuuzi kweli. Mbaya zaidi unayemkataa kwa kigezo cha weupe hata sio mweupe ni mweusi kama wewe tu.

Jaama hapo mwenyewe kaona ndo unyama๐๐

Mwanaume unakuwaje na muonekano wa hivyo?!๐

๐๐๐๐๐

Inshort host haendani na maudhui ya kipindi yupo kma mtangazaji wa refresh all in all hapo walitakiwa wawepo bitches sio hao madem according to guest waliomwabdaa ๐๐

Hakuna mwanaume hapo! Huo mda wa kuufanyia mwil yote hayo anautoa wap? Bado mvulana hyo wanaume hatuko ivyo

Cooked๐ hii kurecover apana ni utaumwa maisha yte๐๐

Mwanamke anayeenda na fasheni hapendi mwanaume anayeenda na fasheniโ๏ธ

Jamaa ana catwalk za kiwaki

Asiongope hapa, kwanini avutiwi na wanaume weupe!?huye host nae kakosea alipaswa kumuuliza hivyo kwanza, alafu hao wanaume weupe walimfanya nini, uwezi chukia kitu bila sababu

Picha linaanza anaambiwa yeye ni mweupe๐

Brotherhood is disappointed ๐ ๐ช ๐ ๐, umeaibisha

Tattoo mpaka kwenye tumbo huyo ndigiri๐ฎ๐๏ธ

Amependa mwenyewe kujiingiza kwenye maujinga kama ayo

Kwani mwanaume yupo wapi kwenye hiyo video

Hivi kumbe Tattoo inatamkwa tofauti na hamsemi

Wameiga vibaya wanaigiza sana hadi hivutiii ,the wale wa us wako fresh sana ndo waanzilishi kuanzia host wa show hadi washirki wako real wanatafuta wachumba kweli

Jamaa kapa punga. Haaminiki

๐๐

Jamaa mbona kama mwehu๐คฃ๐คฃ๐คฃ

Hiki kipindi na bongo kimeanza

Daah itamchukua muda hahah

Mwanaume unakuwaje mweupe hapo ndo tatzo kubwa

Kuna manzi yeye ni mweusi afu anakwambia anataka m/me mweusi ila watoto waupe๐๐๐

Sasa mwana unaenda umekula tattoo, kifua wazi wanamke yeyote anayejielew hawezi kukuchagua

Wakiona watoto weupe wanachanganyikiwa huku hawataki wanaume weupe ๐๐๐

take the journey
Benzer Videolar
Sensitive content
Kwamba huyu jamaa alikuwa na high kiasi gani hata hakujua kama yupo mtegoni??๐ ๐
๐๐ก๐ ๐๐ข๐ฆ.
102,980 gรถrรผntรผleme โข 1 yฤฑl รถnce
Ni kama Njugush alikuwa amejua kitu hii time ๐ ๐ ๐
COOLKID
87,288 gรถrรผntรผleme โข 4 ay รถnce
