Video wird geladen...

Video konnte nicht geladen werden

Zur Startseite

30,234 Aufrufe • vor 1 Jahr •via X (Twitter)

11 Kommentare

Profilbild von Ali Assad Yousef bin יעקב
Ali Assad Yousef bin יעקבvor 1 Jahr

I repeat MACHAME is a no go zone.! we jichanganye tu utaona

Profilbild von Saydon Ahmed
Saydon Ahmedvor 1 Jahr

Hatuna imani na Wamachame

Profilbild von CIA WA USA🇺🇸🇺🇸🇺🇸
CIA WA USA🇺🇸🇺🇸🇺🇸vor 1 Jahr

Mwenyewe juzi kat nilimcheki mama nkampa cm aongee na Dem wangu akaongea nae akaja kuniuliza wawap nkamwambia machame weeee alikuwa kimodaa akiongea ad yas wakamsubirisha 😂😂

Profilbild von KINANGE BoY
KINANGE BoYvor 1 Jahr

Mtu mwenye namba yake amuambie kuwa iko wazi machame tushanyimwa TUSIOEE mama anacheo cha baba na baba anacheo cha mama how come🤨

Profilbild von ❤️ Miss Platnumz ❤️💃🏽🧚🏻‍♀️❣️
❤️ Miss Platnumz ❤️💃🏽🧚🏻‍♀️❣️vor 1 Jahr

Aisee

Profilbild von Solar Heavy
Solar Heavyvor 1 Jahr

New single just landed! take the journey

Profilbild von MKariakoo
MKariakoovor 1 Jahr

Nyie wenyewe hamtakani, si ni akina nani!?

Profilbild von Nyampala02
Nyampala02vor 1 Jahr

Mimi ni mchaga wa machame ili SIWOWI MCHAGA MIMI🥸

Profilbild von Byesigwa Mwijage
Byesigwa Mwijagevor 1 Jahr

Hata Mimi niliachana nae aiseee,wanasema ukishapata Mali bas hyo ndo njia yako ya kwenda Mbinguni ili abaki na Mali😂😂😂😂😂

Profilbild von #OCTAVIUS
#OCTAVIUSvor 1 Jahr

Huyu dada mwenyewe anaonekana dk2 mbele anakurestisha in peace

Profilbild von Boss .com
Boss .comvor 1 Jahr

Jichanganye uoe mmamchame uone ,hawa wako real wala sio storry

Ähnliche Videos

Daah!! 😂💔
0:51

Sensitive content

Daah!! 😂💔

Masaki

26,558 Aufrufe • vor 1 Jahr