正在加载视频...
视频加载失败
Dada anaroho mbaya huyu.
30,711 次观看 • 15 天前 •via X (Twitter)
5 条评论

Yusuph Ergo15 天前
Watu wanaweza kudhani jamaa anamkanyagia Zamaradi, Kumbe ndio ukweli. Zamaradi alimfanyisha kila kitu mwanangu Mansoor kwenye sabasaba aliyoalika mastar kibao kwenye banda lake, matokeo yake hakumlipa mshahara wowote Mansoor mpaka tukafukuzwa geto kwa kukosa pesa ya kodi.

bin Luc14 天前
Mimi ningekuwa huyo bro nisinge mpa airtime zamaradi (ningekuwa mkali kama yule trainer wa Alikiba)

yohana13 天前
Sema itakuwa ni kweli

GOTI Chuga.13 天前
Jamaa kaachwa na nyongo kaliii..

Adamoo14 天前
Vipi tena Mbona jamaa kama vile Mti hauna KIVULI???
相关视频
9:50
Sensitive content
Kama mke wako amemfollow huyu Dada, achana nae ukipuuzia hutoamini kitakachokukuta.
Mfalme👑🇹🇿
53,491 次观看 • 1 年前
