正在加载视频...

视频加载失败

29,392 次观看 • 1 年前 •via X (Twitter)

11 条评论

KIPARA 的头像
KIPARA1 年前

‘Nanoya kwa week mara mbili, jumatatu na jumapili’ WTF? Kwamba unanyoa jumapili na jumatatu unaenda kunyoa tena..? Mji mgumu huu..🙌🏻🙌🏻🤣🤣

Solar Heavy 的头像
Solar Heavy1 年前

take the journey

Shebughe Son 的头像
Shebughe Son1 年前

Jumatatu na jumapili kwa wiki mara 2🤣🤣🤣🤣🤣🤣bongo ukitaka kuwa star unatakiwa uwe na akili pia sio kuwaza kwa unaenda chooni

Budapest 的头像
Budapest1 年前

Ananyoa jumamosi na jumatatu!!haha

NellyM 的头像
NellyM1 年前

Radio station na wanao tangaza huu upuuzi wote wapuuzi

Her Loss 的头像
Her Loss1 年前

Jumatatu na jumapili 😂😂😂😂

Nyando_Mwaliwaya🇰🇪🦁 的头像
Nyando_Mwaliwaya🇰🇪🦁1 年前

Hao watangazaji ni wabunifu mno, wanahoji maswali muhimu mno kwa Taifa letu.

Gogaga 的头像
Gogaga1 年前

Ila hizi clip mbeleni huko tutakuja kuziangalia km vichekecho km tunavoangalia bongo movie ya zaman ilivyo kwa sasa

Roger keshen 的头像
Roger keshen1 年前

Iyo ni hafusita siko lakisita tuwe makini uyo ni tapeli 😁😁😁

Hancy Machemba 的头像
Hancy Machemba1 年前

Kunyoa jpili na jtatu nywele zimeshaota ananyoa tena😂😂😂😂 Nilikuwa nanyonya mzuri na ana akili,kumbe chenga tupu.

dmkodabest 的头像
dmkodabest1 年前

Mtu akiongea pumba kama hvi akikuletea shida hautakiwi kumsaidia

相关视频