Video yükleniyor...
Video Yüklenemedi
Daktari Bingwa akajitolee…
21,542 görüntüleme • 2 yıl önce •via X (Twitter)
10 Yorum

Dharau ya hali ya juu kabisa kwa daktari aliyekaa miaka nane darasani kusoma , alafu leo akajitolee alipe nusu mshahara. Hii ni dhambi kwa watawala. Ipo haja ya kuanzisha mjadala wa kitaifa kuhusu hili swala @HKigwangalla @ElishaOsati @ummymwalimu @IAMartin_ @amour_maryam @furia

MDs kuvoluntia freshi Daktari bingwa kuvoluntia aaaahh😂

Wamefanikiwa kumlipa MD mshahara wa CO kwa kigezo Cha kujitolea next step ni specialist ale mshahara wa MD 😀

Ni kasheshe

Kila ukikumbuka network inakata😂😂😂

😂 huyo atakua na wazimu

hahahahha khaaaa hii nouma!

Chief toa neno moja kwa Medical student anaetegemea maisha mazur baada ya miaka mi5🤌

Kazin kwa intern kuna kazi Hasira zinahamishwa kwake 😀

😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂nacheka Lakini naogopa



