Sensitive content

This media may contain sensitive content.

Loading video...

Video Failed to Load

Go Home

Dala dala za Goms watu wapo mbele ya muda 😃

80,298 views • 1 year ago •via X (Twitter)

0 Comments

No comments available

Comments from the original post will appear here

Related Videos

“SERIKALI HII YA AWAMU YA SITA” 🤣🤣🤣 Well, ndugu zangu wanachekesha sana. Kwanza wamefanya show ya Miaka 30 ya Bongoflava (Hili nitaliongelea vizuri after this post), wakidhania wanaokuja kwenye show ni GEN Z! Then wametumia tactic za kitoto, kufikiri wanaweza kufanya sinema zao za kuchomeka siasa katikati… alafu Washangiliwe; unaweza kukuta walimpanga mama yao standby ili apige simu baada ya kuona kuna nyomi!! Hawakujua wengi walikuwa ni Millenials & Gen X… ambao ni watu wazima sasa na wanajielewa. Na ni watu ambao Serikali Hii Ya Awamu ya Sita imewaua Wenzao na Wadogo Zao, na Watoto Wao!! Ni Watu ambao Wanajua kabisa hawakwenda kupiga kura ila Serikali Hii Ya Awamu ya Sita ikadai imepigiwa kura asilimia 90% plus by 30 million people. Ni watu ambao waliona aliyoyafanya Bashite wakati wa Magufuli, na wameshangaa bado ni Waziri sasa! Ni watu ambao wanaona jinsi rafiki zao kina Humphrey Polepole, Mdude Nyagali, Deusdetius Soka, wanatekwa na kupotezwa bila Serikali Hii Ya Awamu ya Sita kufanya lolote na kuwafanya wahisi pengine ni kazi ya mikono yao! Waliokuja kwenye Concert, ni watu ambao wameshuhudia Tundu Lissu akimiminiwa risasi 20 na, nusura kufa, na amerudi kufanya siasa na mkambambikia kesi na kumuweka ndani takriban mwaka sasa! Waliokuja kwenye show ni Madaktari na Wauguzi walioona Maiti za Oktoba 29, kisha kuja kusikia Serikali Hii Ya Awamu ya Sita inakana! Waliokuja kwenye show ni Wahasibu, Auditors & Bankers, ambao wanajua ukweli wa hali ya kiuchumi. Na wanajua viongozi wa Serikali ya Awamu ya Sita wana kiasi gani bank, huku mtaani wananchi wakifa njaa. Walikuja kupata Burudani & to experience nostalgia!! Hawakuja kupewa “Danganya Toto” wala kuwa “Solitical Stooges”. Waliokuja sio watu wenye njaa, wala sio watoto!! So mbinu za kitoto za Babu Tale na Makonda, haziwezi kufanya kazi!! Na hao Wasanii wenye njaa hawawezi kuwasaidia… Sababu nia yenu ilikuwa Siasa na sio kuenzi Muziki, mmeishia kuboronga vyote viwili. WANANCHI UKWELI WANAUJUA, HATA KAMA HUTOWAONA KWENYE MAANDAMANO AU SOCIAL MEDIA WAKIPOST! Serikali ni HARAMU, hatuitaki na hatuitambui!! Ila sababu nyie ndio mna BUNDUKI, ndio maana watu WAMENYUTI tu. The Leader

Webiro Wakazi Wassira #TheLeader

12,628 views • 1 month ago