Sensitive content

This media may contain sensitive content.

正在加载视频...

视频加载失败

Danyancat #Danyancat #Danyancatgaming

198,441 次观看 • 13 天前 •via X (Twitter)

0 条评论

暂无评论

原始帖子的评论将显示在这里

相关视频

¿Por qué Danyancat terminó con Wero?
3:01

Sensitive content

¿Por qué Danyancat terminó con Wero?

MAURG1 🕊

667,943 次观看 • 8 天前

VIDEO: Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupitia Jumuiya yake ya Wazazi kimeomba viongozi na Maaskofu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) kuingilia kati na kutumia nafasi yao ya kidini kuwaombea na kuwashawishi viongozi wa CHADEMA ili waweze kuweka pembeni kile walichokiita ukaidi na kuitikia wito wa kurejea kwenye meza ya maridhiano ya kisiasa. Wito huo umetolewa Agosti 11, 2026 na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi CCM Taifa, Ally Hapi, wakati akizungumza na wanachama wa CCM na wakazi wa Kilosa Mjini, mkoani Morogoro, kufuatia mkutano uliofanyika Agosti 10, 2026, Ikulu ya Chamwino Dodoma, kati ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan na Maaskofu wa TEC. Akipongeza hatua ya Rais Samia na Maaskofu wa Katoliki kukutana na kujadili masuala ya kitaifa, Hapi alisisitiza kuwa TEC imeonyesha mfano wa kuigwa wa ukomavu wa kidemokrasia unaopaswa kufuatwa na vyama vya upinzani: “Maaskofu TEC, waombeeni CHADEMA. Mungu awasaidie pepo ya ukaidi iwatoke, waende kwenye meza ya maridhiano,” amesema Hapi. Pamoja na ombi hilo la CCM, msimamo wa sasa wa CHADEMA kupitia viongozi wake wakuu umekuwa ukisisitiza kuwa hawatashiriki katika mchakato wowote wa maridhiano na Serikali au CCM bila kuwepo kwa mpatanishi huru wa kimataifa asiyefungamana na upande wowote, kuachiliwa Mwenyekiti wa chama hicho taifa Tundu Lissu na kuwepo kwa ukweli na uwajibikaji kutokana na matukio ya Oktoba 29, 2026. Hata hivyo hivi karibuni, Katibu Mkuu wa CHADEMA John Mnyika alisema kuwa viongozi wa dini nchini wanaweza kuongoza mchakato huo kama wapatanishi rasmi wa ndani endapo pande zote zitakubaliana. Kauli ya Hapi imesukumwa na kikao cha Agosti 10, 2026, ambapo Rais Samia alikutana na Maaskofu wa TEC Ikulu ya Chamwino. Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu, Bakari Machumu, mazungumzo hayo yalilenga kuimarisha ushirikiano kati ya Serikali na Kanisa Katoliki, kujadili amani, mshikamano, na masuala yanayogusa siasa, imani, na maendeleo ya jamii na kukumbusha nafasi ya madhehebu ya dini katika kulea jamii yenye maadili na uwajibikaji.

Jambo TV

31,744 次观看 • 18 天前