Diamond kapewa Airtime ya Free ๐๐๐๐๐๐ฝ
@Rydx_017101K followers
28,219 views
11 Comments
Comments from the original post on X (Twitter)

@Rydx_017
Hudson akaulizwa kuwa DANCE MOVE... Baada ya kuwafunga LIVERPOOL jana alizitoa wapiii? Mwamba akasema KOMASAVA ya DIAMOND PLATNUMZ hiyoooo ๐๐๐๐๐๐ฝ๐๐ฝ OHH... lala... Msikilize... Video kwa Comments๐๐พ
1,312 likes

@luvandalugano47
Wasanii wengine wamuheshimu tu asake kushindana nae ni kupoteza muda๐๐๐
8 likes

@Gervas2004
@machvla mameeen
1 like

@KidariyJ
@diamondplatnumz kuna ujumbe wako huku njoo kaka njoo tajiri la duniani siku sijazo za mbele watoto wadogo hawauwezi moto wako kaka kweli jila la simba unalitendea haki hili taifa linamengi ya kujifunza kutoka kwako hongera mnoo na sisi watazania tumeanza kuonekanika anga za juu
1 like

@Sativa356
Huyu mwamba mnamkatalia kuwa hawezi kuwa tajiri namba moja duniani, hata miaka 40 hajafika. Keka laja.
1 like

@KendrickMtiro8
Daah we jamaa muongo aisee,mbona game siyo ya Jana ya Liverpool na anachokiongea na wewe unachokisema kuhusu Liverpool ni vitu viwili tofauti aisee daaah
1 like

@makasi52
Hii siyo ya leo usipotoshe watu!
1 like

@thatsvon1
@rattibha download this

@__nyuse
@iamsamkailo tumeisha @officialbekajoh ๐

@DrPierebinxete
Apewe heshima yake ๐๐ป๐๐ป๐๐ป

@laizer_omben
@diamondplatnumz @George_Ambangil