正在加载视频...

视频加载失败

DIAMOND Ni Mtoto Wa SINGLE MOTHER

29,427 次观看 • 1 年前 •via X (Twitter)

29 条评论

SIR TIVA 的头像
SIR TIVA1 年前

Mzee wangu MWANDAMBO anapigaga kwenye mishono🫵🏾😂

KIDUKU 的头像
KIDUKU1 年前

Anaifumua Mishono🫵😂

OHM 的头像
OHM1 年前

Mzee wetu ni kweli umemaliza naomba kijana wako nikuwekee NUKTA 😃

Sia Da Vinci💎 的头像
Sia Da Vinci💎1 年前

Watoto wa single mother hapa mnatukanwa kwa pamoja

kimbesa. 的头像
kimbesa.1 年前

Huyu mzee anaongea Nini? Mtu mzima kuongea upuuzi Kama huu ni aibu kwa ndugu zake

Sarah Wizah 的头像
Sarah Wizah1 年前

Sio kweli ,wapo watoto ambao wamelelewa na single maza Wana tabia njema,huyo mpuuzi asifanye uwasimange ma single maza

Atanat Willian 的头像
Atanat Willian1 年前

😂😂😂 aliweka vizuri sana

Captain 的头像
Captain1 年前

Kwahyo huyu mpumbavu ni baba wa mtu?

Lutanula12 的头像
Lutanula121 年前

100%true🙏

omary juma 的头像
omary juma1 年前

Watoto from Single mothers wamejaa duniani.Obama huenda akawa ni mmoja wao. Wapo na wengine wengi walio mifano bora. Kwahiyo kama unataka kumsema uliyemlenga basi jipange vizuri.

Freddy Mokili 的头像
Freddy Mokili1 年前

Baba mwandambo umetufafanulia vizuri sana

H@BBY26🇹🇿🦏 的头像
H@BBY26🇹🇿🦏1 年前

Kama kweli lakini

Salumuamani12 的头像
Salumuamani121 年前

Anayeongea vibaya ela ya mswaki hanaa

KENGE WA NDANI 的头像
KENGE WA NDANI1 年前

Hili linaukweli ndani yake; Ikumbukwe aliwahi mkataa baba yake mzazi; na hii ndio maana halisi na faida ya baba/ mzazi wa kiume kwa malezi ya watoto wetu.

KAXY 的头像
KAXY1 年前

Kweli tupu! Huwezi mkataa babaako mzazi kisa mama ako hampendi nawe unaingilia ugomvi usokuhusu ukasalimika ako na lana za babaake huyo daimondi

Honey Badger 的头像
Honey Badger1 年前

Kwa hiyo tuache aendeleze michezo yake ya p.diddy wakati tunafanya kazi

KOB JEI 🇹🇿 的头像
KOB JEI 🇹🇿1 年前

Hana akili msege yulee

Salum Saidi 的头像
Salum Saidi1 年前

Hata yeye anaonekana kama anavyoongea

mickyd 的头像
mickyd1 年前

huyu baba yetu mwandambo tunaomba acc yake tumfollow

JAMES P TZ 的头像
JAMES P TZ1 年前

Wakati natafuta mchumba baba alinikataza kuoa mwanamke ambae mama yake hajawahi kudumu kwenye ndoa(tofauti ya yule aliyefiwa na mume).Wazee wanaona mbali sana

Mudifleva 的头像
Mudifleva1 年前

😄

Nkwabi 的头像
Nkwabi1 年前

Mwamba kapiga kwenye mshono kabisa. Huu ndio unaitwa UKWELI MCHUNGU !!

JJ T 的头像
JJ T1 年前

Hiyo subtittle ni Lugha gani

Elinami Lyatuu 的头像
Elinami Lyatuu1 年前

😃😃😂

WE_ZOMBIE💀🍁 的头像
WE_ZOMBIE💀🍁1 年前

Aloooo😂😂🙏🏾

Selemani Mtamila 的头像
Selemani Mtamila1 年前

Kaka sio kweli. Kuna wanagapi tumelelewa na Mama tu na mbona tabia izo atuna, Iiyo inatokana na tabia ya mtu tu kaka.

NYEUSI YA RAMI 的头像
NYEUSI YA RAMI1 年前

MZEE TUOMBA UMSAMEHEEE KIJANA AJUIALITENDALO

Rouhan Ixa 的头像
Rouhan Ixa1 年前

Nakubali

Upendo. 的头像
Upendo.1 年前

Wewe ulielelewa na wazazi wote wawili ndio hao waliokufundisha kujirecord nakuongea huku unachokonoa mapua yako mbele ya camera.Stupid people wako kwenye kila ulezi ukiwemo wewe usidharau watoto waliolelewa na wamama pekeyao.Pumbavuu..Judge mtu kwa kile alichofanya usi generalise

相关视频